Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 57,600
- 96,590
Bwana Polepole...
Nilikaa mkabala na TV yangu kwa shauku kubwa sana kukusikiliza, nilidhani ya kwamba utakuwa mchambuzi kweli kweli na utakaa katikati. Nashukuru kwamba umekuwa mwanadamu na leo umesimamia upande wako.. vyema sana kwa sababu ungeweza leo kukaa katikati na ukasema kama mchambuzi na mjuzi wa mambo ningezidi kukuamini na kufuatilia kila unachosema..
Nashukuru kwa kufahamu kuwa "after all you are still a human being who love and hate emotionally and physically".
Naendelea kushukuru kwamba sasa hivi nikikuona kwenye TV sitachanganyikiwa kama awali kutaka kujua unazungumza nini.
Mimi tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi kura yangu ni kwa upinzani huwa sipati hata tabu ya kuwasikiliza makenge kama hao ndio nipige kura, mimi kura yangu haiyumbi ni ya UKAWA inasubili kutumbikizwa kwenye ballot tu ihesabiwe.