Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,345 Reaction score 100,327 Jul 30, 2014 #2 Mna visa balaaaa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 370,393 Reaction score 857,582 Jul 30, 2014 #3 fes jones said: si kama jana Click to expand... Unatafuta bifu
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Jul 31, 2014 #4 Ni vitu vya kawaida hivi lakini hasa huwa siku ya sikukuu ndo vinazidi kupendwa biriani na pilau na ikisha sikukuu ndo hapo tena ni sembe na dona na makande na hata nguo mi hununua siku za iddi tu yaani mwaka mara mmoja
Ni vitu vya kawaida hivi lakini hasa huwa siku ya sikukuu ndo vinazidi kupendwa biriani na pilau na ikisha sikukuu ndo hapo tena ni sembe na dona na makande na hata nguo mi hununua siku za iddi tu yaani mwaka mara mmoja
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,249 Jul 31, 2014 #5 ndo maisha yetu hayo