NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,840
- 5,097
Alikuwa amenibeba barabara ya vumbi nikamuuliza helmet yangu wapi akanijibu
Kaka hizi kofia za abiria zinapataga mavumbi mno isitoshe ni hatari kwa COVID-19 maana zinashikwaga na wengi na kwa siku ndio maana naiacha.
Polisi fikirieni point hii legezeni sheria kwa kipindi hiki