Stephano Mgendanyi JF-Expert Member Joined May 16, 2020 Posts 3,119 Reaction score 1,429 Apr 14, 2025 #1 Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ametoa ushauri juu ya: (i) Uboreshaji wa sera yetu ya maafa (ii) Upatikanaji wa ajira nchi za nje Mbunge huyo amesema ajira za nje ya nchi zetu ni bidhaa mpya Duniani ambayo mwaka jana (2024) ilikuwa ya thamani ya USD bilioni 905. Tafadhali msikilize Prof Muhongo kutoka kwenye CLIP/VIDEO iliyoambatanishwa hapa. Your browser is not able to display this video.
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ametoa ushauri juu ya: (i) Uboreshaji wa sera yetu ya maafa (ii) Upatikanaji wa ajira nchi za nje Mbunge huyo amesema ajira za nje ya nchi zetu ni bidhaa mpya Duniani ambayo mwaka jana (2024) ilikuwa ya thamani ya USD bilioni 905. Tafadhali msikilize Prof Muhongo kutoka kwenye CLIP/VIDEO iliyoambatanishwa hapa. Your browser is not able to display this video.