Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,351 Apr 6, 2013 #41 watu8 said: Dakika zilizobakia hazimruhusu hata kuku kumeza punje ya mtama... Click to expand... Vema, naona jamaa wameweza kuthibitisha kuwa wanaweza. Na azam wanaendekeza wimbi la matokeo mazuri zaidi ugenini kuliko Mchina Stadium Jiangfang...
watu8 said: Dakika zilizobakia hazimruhusu hata kuku kumeza punje ya mtama... Click to expand... Vema, naona jamaa wameweza kuthibitisha kuwa wanaweza. Na azam wanaendekeza wimbi la matokeo mazuri zaidi ugenini kuliko Mchina Stadium Jiangfang...
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,270 Apr 6, 2013 #42 Hongera wanalambalamba, ila siku mtakapokutana na Mnyama kipigo kipo pale pale.
KANYIMBI JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 2,187 Reaction score 4,425 Apr 6, 2013 #43 Hongereni sana Azam. Kazi nzuri. Kilichobakia kingine ni kuchukua na ubingwa wa ligi ya Bongo. Soka mnalijua. Nawatakia mema sana
Hongereni sana Azam. Kazi nzuri. Kilichobakia kingine ni kuchukua na ubingwa wa ligi ya Bongo. Soka mnalijua. Nawatakia mema sana