Leo 5/11/2017 naacha pombe rasmi

Huna sababu ya msingi,,,kikubwa wewe ni kichwa panzi na hukua na nidhamu ya unywaji,,
Btw ukipata hamu kunywa wines,they are for gents
 
R I P pombe alikupenda ila hutakua nae tena
 
Ungeandika ukiwa hauna hangover tungekuelewa.
 
Hongera sana! ni maamuzi mazuri sana! mimi nimetimiza miezi 10 bila kunywa pombe pamoja na kuwa viwanja vyangu ambavyo napenda kuangalia mpira hasa EPL ni baa ambazo wanauza pombe! kila kitu kinawezekana ni kuweka nia tu!
 
Maamuzi sahihi kbs hayo hivo weka nia thabiti na simamia ulichokiamua.Kila rakheri
 
Mkuu sema umepumzika pombe kwa muda.....

Pombe haiachwi kirahisi kama unavyodhania.....

safari lager ......serengeti lite....serengeti lager.... hizi bia nazikubali sana....
Na anataka kuilaumu pombe kwa failure zake sio kweli huyu yeye mwenyewe ndo mshindwa pombe haijamsababishia kushindwa malengo aliyojipangia swali je wanywaji wote wameshindwa kama yeye...............!
 
ACHA POMBE ANZA KAMARI NA UMALAYA HAPO NDIO UTAJUA KILA KITU MTU FANYA KWA MALENGO UTAFANIKIWA.LEO NAENDA KUPIGA POMBE ZANGU KAMA KAWA ILA KWENYE POMBE HUKO HUKO NI LAZIMA NIPATE CONNECTIONS ZA MICHONGO NA BIASHARA! KILA KITU KAMA HUJUI JINSI YA KUKBADIRISHA KUWA FURSA ACHA HATA KAMA UNA-BET HALAFU HUPATI HELA ACHA, UMALAYA WA KUTUMIA HELA TU ACHA ILA MIMI POMBE SIACHI NA SIFII MASKINI KAMA MAJIRANI WANGU WASIOKUNYWA POMBE ILA SIONI CHA MAANA WANACHOFANYA
 
Kila la heri mkuu Mungu akusimamie
 
Nimekuja mbio nikajua kweli unaacha.
Kumbe umeleta bango la kusaka mchumba kiaiana[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Sababu zooote ulizozitoa ni
[HASHTAG]#utoto[/HASHTAG] tuu#
Nani ka kwambia ukiacha pombe unakuwa tajiri??
Nani kakudanganya pombe inaondoa utu wa mtu?? Labda ulevi



Kajitafakari kwanzaa


Oooooops, kumbe jana watu wamemaliza paper[emoji134] [emoji134]

Kwa wiki moja maada kama hizi tulikuwa tumezipumzika kidogo
 
Ngoja azisake kwanza siku akiziotea msianze wazingizia wachawii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kulala baa itakuwa kawaida sana
 
TBL WAKIONA HILI BANDIKO WATAUMIA SANA KUPOTEZA FAIDA.

KILA LA HERI MKUU, WENGNE TUNAKUTANA KUNYWA POMBE ILI KUPANGA MIKAKATI YA KIPESA, KWA HYO UNAKUNYWA POMBE ZA ELFU 20 UNAPATA DILI LA M. 2 KIROHO SAFI.

WANAOJUTA UNYWAJI MARA NYINGI HAWAFUATI 'MOTTO' YA KUNYWA POMBE YAANI

"KUNYWA POMBE KISTAARABU"

"UNYWAJI POMBE KUPITA KIASI NI HATARI KWA AFYA YAKO"


ITAWALE POMBE UTAENJOY

[HASHTAG]#TEAMKILAJI[/HASHTAG]
 
Unafikiri kuacha pombe ni kirahisi rahisi hivi tu?

Na ukishatamka tuu hutakaaga uache ng'oo!...we ungenyamaza ukaongea na moyo wako basi
 


Mkuu sema tu kuwa Anko Magu kabana sana!

Otherwise hayo ni mambo yako binafsi ya kukwepa kulipa kodi.

FYI pombe huchangia sana uchumi wa nchi kwani hukatwa kodi kubwa.

Anyway good luck
 
Daaah chama kinakimbiwa na wanachama mkuu chukua moja 4 the road chief
 
Dah....usiache kifala hivyo....kwa taarifa yako kwa hiyo miaka 5 umetumia zaidi ya million 17 kama ulikunywa wastani wa bia3 kwa siku.... Cha kufanya sasa tafuta kibubu na uweke pesa ya bia 3 kila siku ....Fanya kwa miaka 5 hivi[emoji13] [emoji87] [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…