Leo 1/4/2018 nimekamilisha Uandishi wa Kitabu Kitakatifu cha "DOGUMA Takatifu"

Usimsahau Mzee baba kwenye uzinduzi wa kitabu chako, maana sasa mkasi anatembea nao...
 
Hongera.
mkuulize , 1. Hicho kitabu kimejaa maono yako? au 2. kitabu cha maono ya dini yako?
 
Back
Top Bottom