"Lens Error" kwenye Camera ya Nikon Coolpix

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,601
4,087
Habarini wadau,

Nina kamera aina ya Nikon CoolPix S3300,
Kwa sasa ina tatizo la kutochomoa lens pindi napoiwasha kwa ajili ya kupiga piga,
Na baada ya muda inaleta ujumbe wa
"Lens Error".

Naomba msaada wa kujuzwa kama tatizo hili linaweza kurekebika kwa mafundi,
Au ni serious sana kiasi kwamba hii kamera haiwezi kuwa nzima tena.

Natanguliza shukrani.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…