Lenovo laptop msaada!

Hansy wa East

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
447
230
Bandugu nataka kununua laptop inaitwa lenovo sasa tatizo haina charge cjajua ina ukubwa gani bt bataka kujua kwamba hizi laptop zinaubora au ndoo vile zinasumbua 2.
Msaada tafadhali!
 
Tatizo pekee nnalolifahamu kuhusu lenovo ni display haichelewi kufa!
Bandugu nataka kununua laptop inaitwa lenovo sasa tatizo haina charge cjajua ina ukubwa gani bt bataka kujua kwamba hizi laptop zinaubora au ndoo vile zinasumbua 2.
Msaada tafadhali!
 
Lenovo ni mashine nyingine hiyo
Since unatakiwa ujue Lenovo ni IBM
Halafu ndio best selling laptop in the world kwa sasa hivi baada ya Hp ila baada ya 2015 itakuwa namba moja mkuu
Kuna siku nilikuwa na Director wa Marketing wa Lenovo (taiwan) aliniambia kuwa idadi ya stores za lenovo zilizopo china tu ni zaidi ya idadi ya stores za Apple zilizopo duniani kote
 
asante kaka kwa kunipa Moyo!
 
Mtu asikutishe lenovo ni nzuri kijana chukua mimi mwenyewe natumia kama hiyo? Ukipata yenyewe unapata na programs zao za lenovo, good luck kijan
 
Back
Top Bottom