Hansy wa East JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 446 Reaction score 232 Oct 20, 2012 #1 Wakuu naoma kuuliza hapa Dar dealer wa pc za lenovo anapatikana maeneo yapi maana adapter yangu ya lenovo pc imekufa msaada plz!
Wakuu naoma kuuliza hapa Dar dealer wa pc za lenovo anapatikana maeneo yapi maana adapter yangu ya lenovo pc imekufa msaada plz!
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 18,395 Reaction score 26,279 Oct 21, 2012 #2 lenovo aina gani information zako hazijatosha mfano mimi lenovo yangu ni 3000c200 huizo taarifa ni muhimu hivihivi unaweza kupewa bei baadae ukagundua siyo uliyokuwa unahitaji
lenovo aina gani information zako hazijatosha mfano mimi lenovo yangu ni 3000c200 huizo taarifa ni muhimu hivihivi unaweza kupewa bei baadae ukagundua siyo uliyokuwa unahitaji