kaka kuroot ni must anza na hapo.
kuhusu recovery wenyewe clockworkmod ndio wanatoa kila simu na recovery yake. ila nimecheki list yao sasa HV sjaiona simu yako.
ClockworkMod ROM Manager - Recoveries
ila nakumbuka jamaa wana app yao IPO play store ambayo automatic inadetect simu kisha kuinstall Hio recovery. app inaitwa ROM manager kama itakubali kwako inamaana Hata step zitakua rahisi.
1.root simu
2. install ROM manager toka playstore iache imalize mambo yake