Lengo ni kuingo'a CCM au kuleta maendeleo?

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,951
Nawasalimia wana bodi.
Nimefuarahi sana vyama vya upinzani kuungana. Ni hatua moja ya maendeleo kisiasa.

charuka_ndani2.JPG
Lakini pamoja na kuungana inapaswa kila kitu kuwekwa wazi ili kieleweke ni nini makubaliano halisi. Maana kunaugomvi mwingi umewahi kutoka hapo nyuma. Mfano mwaka jana 2013 kumekuwa na ugomvi baina ya CUF na CHADEMA:-

Mheshimiwa Spika, kwa upande wa chama cha CUF, kutokana na itikadi zake za mrengo wa Kiliberali ambazo miongoni mwa misingi yake mikuu ni pamoja na "kupigania haki za ndoa ya jinsia moja, usagaji na ushoga". Hii ni kwa mujibu wa tangazo lao kwenye mtandao wao wa umoja wa maliberali ulimwenguni, likiungwa mkono na Waziri wa Haki na Usawa wa Uingereza, Lynn Featherstone kutoka chama cha Liberal Democrats wakati chama hicho kilipokuwa kinapitisha azimio la kuruhusu ndoa za jinsia moja kama haki ya mtu mmoja mmoja, wanashirikiana na vyama kama vile LPC ya Canada, Det Radikale Venstre cha Norway, FDP cha Ujerumani, Israel Liberal Group cha Israel,PDS cha Senegal na Liberal Democrats cha Uingereza.

Kutokana na umoja huo, CUF wamekuwa wakipata msaada wa kifedha na nyenzo nyingine mbalimbali kutoka kwa vyama hivyo vya mrengo wa Kiliberali na msaada wa mwisho ni hivi majuzi mwezi Machi 2013 waliposaini makubaliano na chama cha Kiliberali kutoka Norway.

Mheshimiwa Spika, kwa upande wa CHADEMA, wapo kwenye Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia Ulimwenguni (International Democratic Union - IDU). Huu ni umoja wa vyama ambavyo vipo kwenye mrengo wa kati na ambavyo msingi wake mkuu ni pamoja na kuwa na familia, kama taasisi muhimu katika jamii, ikimaanisha kwamba: "tunapinga vitendo vyote vya ushoga na usagaji". Tunatetea demokrasia, haki za binadamu na kupambana na ufisadi katika serikali. Vyama wanachama wa umoja huu ni pamoja na Conservative Party cha UK, CPP cha Norway, Republican cha Marekani na vingine vinavyofuata mrengo huo.

Kwa kweli inayaka moyo sana.
Ila pointi yangu ni kwamba je huu muungano wa vyama hivi ni wa kudumu au wa mda? kama ni wa kudumu kwa nini kila kitu kisiwekwe hadharani ili kila mmoja akaelewa.

Je lengo la hivi vya ni kung'oa CCM au kuleta maendeleo kwa wananchi?
Kama ni kimoja ni jinsi gani sasa watafikia lengo lao wakati bodo kuna watu wanavidonda vinauma havijapona na hatujaona wakisameheana?

Kukubaliana viongozi haitoshi maana huku mitaani wanachama wa CUF na CHADEMA hawapendani bado hawajaaelezwa ule utofauti uliojitokeza umeishaje? Maswali ni mengi sana.

Hivi chukulia wewe ni mwanachama wa CUF halafu wenje ndiye mgombea na unalazimishwa umchague wakati alikuita shogha!!! inakuja akilini kweli?

Mimi ninataka kujua huu umoja ni wa namna gani?

Halafu ikumbukwe mwaka 2010 baada ya kuunda kambi ya upinzani Mbowe alikataa kuwahusisha wenzake kwenye kambi ya upinzani na akataka yeye tu ndiye mpakwa mafuta. Na ikumbukwe kuwa CHADEMA sasa inapumulia oxygen kwa hiyo inatafuta kick kupitia kwa wazoefu wa siasa kama akina Lipumba na Mbatia watu waliozoea kugalaganzwa vibaya ili kujificchia aibu.

Na wana JF wekeni alini huu umoja baada ya 2015 kila mmoja ataanza kumlaumu mwenzake ndiye aliye sababisha kushindwa vibaya. Na ndio itakuwa mwisho wa CDM, CUF na NCCR.

MOU haijakaa vizuri kwani haijaeleza toauti zinamalizwaje? imejikita katika madaraka tu. Haina sera yoyote zaidi ya kujikita kwenye madaraka.

Lipumba hataki uongozi mdogo anataka mkubwa ndio mnataka agombee uraisi? Itakuwa ngumi mbaya ya usoni. Slaa je? itakuwaje. Hapa patachimbika Lipumba hatakubali hata siku moja.

Wapinzani siwaelewi kabisa lengo lenu, maana vuguvugu la utofauti ni kubwa mno.
 
Wazo la kuiondoa ccm linakuja kwanza maana ni kama unataka kupanda maharage shambani, kusafisha shamba ndio kitu cha kwanza na mavuno ndio maendeleo huku magugu yakifananishwa ccm.
Hivi kama Chenge/EL wanaweza kuungana na Sitta kupitisha katiba ya ccm kuna ubaya gani cdm na cuf kuuanga pia kuikataa!??
Hivi vyama kila kimoja kimeanzishwa kwa maelengo yake na kinafanya mambo yake lakini kwa mara ya kwanza katika historia yao kuna sababu iliyo wazi na vyote vimegongana hapo, nayo ni Katiba Mpya ambayo kwa wenye akili wanajua wazi kuwa ndilo suluhisho la matatizo ya sasa hapa Tanzania. Yakiibuka matatizo mengine huko mbeleni basi watakaokuwepo nao watatengana au kuzidi kuungana kulingana na yatakavyoonekana.
 
View attachment 198916
Nawasalimia wana bodi.
Nimefuarahi sana vyama vya upinzani kuungana. Ni hatua moja ya maendeleo kisiasa.
View attachment 198904

Angalia ubungo mataa itakavyokuwa.
 
Wazo la kuiondoa ccm linakuja kwanza maana ni kama unataka kupanda maharage shambani, kusafisha shamba ndio kitu cha kwanza na mavuno ndio maendeleo huku magugu yakifananishwa ccm.
Hivi kama Chenge/EL wanaweza kuungana na Sitta kupitisha katiba ya ccm kuna ubaya gani cdm na cuf kuuanga pia kuikataa!??
Hivi vyama kila kimoja kimeanzishwa kwa maelengo yake na kinafanya mambo yake lakini kwa mara ya kwanza katika historia yao kuna sababu iliyo wazi na vyote vimegongana hapo, nayo ni Katiba Mpya ambayo kwa wenye akili wanajua wazi kuwa ndilo suluhisho la matatizo ya sasa hapa Tanzania. Yakiibuka matatizo mengine huko mbeleni basi watakaokuwepo nao watatengana au kuzidi kuungana kulingana na yatakavyoonekana.
Siku hizi CUF sio mashoga tena? maana Sera za CUF na CHADEMA zinatofautiana.
 
Nawasalimia wana bodi.
Nimefuarahi sana vyama vya upinzani kuungana. Ni hatua moja ya maendeleo kisiasa.

View attachment 198919
Lakini pamoja na kuungana inapaswa kila kitu kuwekwa wazi ili kieleweke ni nini makubaliano halisi. Maana kunaugomvi mwingi umewahi kutoka hapo nyuma. Mfano mwaka jana 2013 kumekuwa na ugomvi baina ya CUF na CHADEMA:-

Mheshimiwa Spika, kwa upande wa chama cha CUF, kutokana na itikadi zake za mrengo wa Kiliberali ambazo miongoni mwa misingi yake mikuu ni pamoja na "kupigania haki za ndoa ya jinsia moja, usagaji na ushoga". Hii ni kwa mujibu wa tangazo lao kwenye mtandao wao wa umoja wa maliberali ulimwenguni, likiungwa mkono na Waziri wa Haki na Usawa wa Uingereza, Lynn Featherstone kutoka chama cha Liberal Democrats wakati chama hicho kilipokuwa kinapitisha azimio la kuruhusu ndoa za jinsia moja kama haki ya mtu mmoja mmoja, wanashirikiana na vyama kama vile LPC ya Canada, Det Radikale Venstre cha Norway, FDP cha Ujerumani, Israel Liberal Group cha Israel,PDS cha Senegal na Liberal Democrats cha Uingereza.

Kutokana na umoja huo, CUF wamekuwa wakipata msaada wa kifedha na nyenzo nyingine mbalimbali kutoka kwa vyama hivyo vya mrengo wa Kiliberali na msaada wa mwisho ni hivi majuzi mwezi Machi 2013 waliposaini makubaliano na chama cha Kiliberali kutoka Norway.

Mheshimiwa Spika, kwa upande wa CHADEMA, wapo kwenye Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia Ulimwenguni (International Democratic Union - IDU). Huu ni umoja wa vyama ambavyo vipo kwenye mrengo wa kati na ambavyo msingi wake mkuu ni pamoja na kuwa na familia, kama taasisi muhimu katika jamii, ikimaanisha kwamba: "tunapinga vitendo vyote vya ushoga na usagaji". Tunatetea demokrasia, haki za binadamu na kupambana na ufisadi katika serikali. Vyama wanachama wa umoja huu ni pamoja na Conservative Party cha UK, CPP cha Norway, Republican cha Marekani na vingine vinavyofuata mrengo huo.

Kwa kweli inayaka moyo sana.
Ila pointi yangu ni kwamba je huu muungano wa vyama hivi ni wa kudumu au wa mda? kama ni wa kudumu kwa nini kila kitu kisiwekwe hadharani ili kila mmoja akaelewa.

Je lengo la hivi vya ni kung'oa CCM au kuleta maendeleo kwa wananchi?
Kama ni kimoja ni jinsi gani sasa watafikia lengo lao wakati bodo kuna watu wanavidonda vinauma havijapona na hatujaona wakisameheana?

Kukubaliana viongozi haitoshi maana huku mitaani wanachama wa CUF na CHADEMA hawapendani bado hawajaaelezwa ule utofauti uliojitokeza umeishaje? Maswali ni mengi sana.

Hivi chukulia wewe ni mwanachama wa CUF halafu wenje ndiye mgombea na unalazimishwa umchague wakati alikuita shogha!!! inakuja akilini kweli?

Mimi ninataka kujua huu umoja ni wa namna gani?

Halafu ikumbukwe mwaka 2010 baada ya kuunda kambi ya upinzani Mbowe alikataa kuwahusisha wenzake kwenye kambi ya upinzani na akataka yeye tu ndiye mpakwa mafuta. Na ikumbukwe kuwa CHADEMA sasa inapumulia oxygen kwa hiyo inatafuta kick kupitia kwa wazoefu wa siasa kama akina Lipumba na Mbatia watu waliozoea kugalaganzwa vibaya ili kujificchia aibu.

Na wana JF wekeni alini huu umoja baada ya 2015 kila mmoja ataanza kumlaumu mwenzake ndiye aliye sababisha kushindwa vibaya. Na ndio itakuwa mwisho wa CDM, CUF na NCCR.

MOU haijakaa vizuri kwani haijaeleza toauti zinamalizwaje? imejikita katika madaraka tu. Haina sera yoyote zaidi ya kujikita kwenye madaraka.

Lipumba hataki uongozi mdogo anataka mkubwa ndio mnataka agombee uraisi? Itakuwa ngumi mbaya ya usoni. Slaa je? itakuwaje. Hapa patachimbika Lipumba hatakubali hata siku moja.

Wapinzani siwaelewi kabisa lengo lenu, maana vuguvugu la utofauti ni kubwa mno.
 
Lengo ni yote mawili..

Unapokata mti japo utakata shina lakini pia inabidi ung'oe na kisiki
 
Mkuu.
Mbona hueleweki tunajadili kitu gani hapa?

Naona umezunguka na kujikanyaga kanyaka tu.

Can you make it clear!?
 
Mtatembeaje pamoja wakati hampatani?
 
Kuwavurumisha ndio lengo kuu kwanza..dem shit
 
Lengo ni kuletea wananchi maendeleo lakini huwezi kuboresha uchumi katika mfumo uliopo. kwa hiyo ni lazima CCM iondoke wengine waingie na mfumo ambao uataleta tija kwa wananchi. Kwa nini UKAWA. Kwenye chaguzi zilizopita vyama vya upinzani viligawana kura hivyo kufanya CCM ipite kirahisi. Sasa wakipiga kura kwa pamoja ina maana ni CCM na UKAWA kwa hiyo kushinda itakuwa rahisi. Angalia matokeo ya udiwani kata ya Kawe:

CCM 6918 CDM 6775 CUF 1233 NCCR 864. Ukijumlisha za upinzani hapa utapata ngapi? 8872 hapo mshindi nani UKAWA!

Ugomvi umeisha kwa sababu viongozi wameshapatana na wanashusha mapatano yao huku chini. Mfano mzuri ni huu uchaguzi wa serikali za mitaa..tayari chama kinachokubalika zaidi sehemu kikiwa na mgombea mzuri anayekubalika na wananchi wengi, vyama vingine vitampigia kura ya ndio. Kama chama kina wafuasi wengi lakini mgombea wake hakubaliki, basi chama mbadala chenye mgombea mahiri kitasimama na vyama vyote vya UKAWA vitampigia kura ya ndio. Kwa namna hiyo CCM itatoka tu.
 
Nawasalimia wana bodi.

Je lengo la hivi vya ni kung'oa CCM au kuleta maendeleo kwa wananchi?

Lengo ni kukiondoa kiwazo cha maendeleo ndipo maendeleo yatakapokuja. CCM ni sawa na dereva aliyeingiza gari kwenye matope kwa makusudi. Wenye gari wanapomsaidia kulikwamua gari hilo kwa kulisukuma dereva ameamua kukanyaga brake. Je, hilo gari litatoka? Inatakiwa dereva abadilishwe ndipo safari iendelee.
 
Jambo tunalolitaka ni maendeleo,tumewapa jukumu hilo ccm kwa miaka hamsini badala ya kutuendeleza wao wamekuwa na agenda ya kuturudisha nyuma.

Ni lazima tuwe na chama cha siasa kinachoongoza serikali.

Sasa sababu wameshindwa japo kujirekebisha dawa ni kuwaondoa.

Tuko tayari kusimamisha michakato yote ya kiuchumi kwa sasa tuwaondoe hawa wajinga kwanza
 
Back
Top Bottom