Lengo la USA Kuingia Syria

The hammer

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,396
1,784
Kumbe yawezekana kuingia na machafuko yaliyopo huko Syria ilikuwa kumtoa Al-Asad kwenye madaraka.

Lengo la USA kutaka kumtoa Bashir ni lipi hasa?

Moscow (AFP) - US Secretary of State John Kerry met President Vladimir Putin at the Kremlin on Thursday to try to convince him to support an end to Bashar al-Assad's rule in Syria.

Putin had warm words for Kerry at the start of their meeting, thanking him for his "business-like" approach and hailing the United States for helping broker a ceasefire in the war-torn country.

"We understand that what we have managed to achieve on Syria has only been possible thanks to the constructive position of the political leadership in the US, the position of President Obama," Putin said.

Source yahoo News

Kerry in Moscow to urge Putin to soften Assad stance
 
Ziara ya Kerry haina dhimira ya kutatua mgogoro wa Syria bali ni kuishawishi Russia kukubali Assad ang'olewe madarakani. Na ndiyo maana US wameanzisha vuguvugu la kuipinga serikali halali ya Assad, kwa kuwasaidia. wapinzani na vikundi walivyoviita. vya msimamo wa wastani. Wamewasaidia kufanya mapinduzi. ila Assad akaomba msaada Russia kuzima ndoto zao. Baada ya hapo US wakaona wasapoti mpango wa kusitisha mapigano. Huku wakiendelea na mapambano dhidi ya magaidi wa IS na Al Nusra Front.

US wanataka kumng'oa Assad kwa nguvu ili wapate maslahi huko Syria, maana Assad ni kikwazo kwa maslahi yao. Russia nao wanamaslahi huko Syria na ndiyo maana wakaamua kumsaidia Assad ili walinde utawala wake unao wezesha Russia kunufaika. Haya ni mazungumzo ya kugawana maslahi baina ya Russia na US ndiyo maana utaona wanafanya mazungumzo yabayohusu Syria bila ujumbe wa wawakilishi wa Syria. Utaona kuna mazungumzo ya kutafuta amani ya kudumu huko Geneva.

Haya mataifa makubwa hususani yenye kura ya turufu (Veto power ) kwenye baraza la usalama la umoja wa mataifa yanachochea na kuvuruga sovereignty ya mataifa mengine , wanatengeneza matatizo na wanaenda kwenye baraza la usalama UN kujadili na kuamua kutoa suluhisho la matatizo ya mataifa mengine bila kuyajumuisha.
 
Kuna source flan nilihisoma..mahali flan.. kulikuwa.na mpango..ambao. ulipangwa na Zionist miaka Ya 80'S (Greater Israel Project) kwenye huo mpango.ulikuwa na niya Ya kuzigawanya ichi jirani za kiaarabu.. along sectarian line, kuwagawa washia,wasuni,wakrudi Kama ikiwezekana kila tabaka. Liwe. Na ichi yeke .. ili kuwapunguza nguvu..wasiwe na uwezo wowote. Wa kuivamia Israel katika huo mpango Syria ilikuwemo.. sasa ukijaribu kucheck sasa Kama kilichopangwa kinaanza. Kutokea
 
Back
Top Bottom