Lengo la Uongozi lisiwe Madaraka bali Mabadiliko yaliyojaa Utu – LEMA

Mbowe alidandia bajaj ambayo ilikuwa imeandaliwa special kwa kumtorosha baada ya tukio, na Lema alikimbia akaenda kujificha mianzini kwenye bucha la nguruwe! Kuwaamini CHADEMA inabidi uwe na akili ya msukule! Ila wakarudi baada ya hali kuwa shwari kiaina!
nimeamini sasa, njaa pekeyake haitoshi kukufanya mfuasi wa CCM, unahitaji kuwa chizi pia.
 
Hoja ya kwanza ni kutoka kweye ahadi zake kabla wananchi wa Arusha hawajamchagua kuwa mbunge wao alitoa ahadi.

1) Zipo wapi Machinga Compex mbili alizosema atajenga.

2) Hipo wapi hospitali ya kina mama na watoto aliosema atajenga.

3) Zipo wapi ajira alizowahidi vijana Arusha.

4) Mpaka sasa hivi zimepatikana kiasa gani kwenye M4C mapato na matumizi.
Vipi mkuu gamba naona bado kapuya anatekeleza sera zenu za kueneza UKIMWI kwa vibinti
 
Kamanda Godbless J Lema,Hakika andishi lako ni kati ya maandishi bora kwa mwaka huu.

Wewe ni Role Model wa vijana Tanzania.Ninachokuomba usife moyo na maelfu ya watu wako nyuma yako kukuunga mkono.

Kuonyesha wewe ni Role model utaona thread hii itakavyochangiwa na maelfu ya watu ingawa wengine watakejeli lakini jiulize mbona za wengine hawachangii??

Role Model kwako wewe...Count me out please!Lema will never be my role,So speak for yourself!
 
Last edited by a moderator:
Nani amlishe sumu mwathirika? Huyo mlishwa sumu tayari anaishi na vvu.... Hivyo pekee vinamtosha... Sasa sumu tena ya nini? Wakati mwili wake tayari una sumu? .... Afu hiyo single ya sumu imeshabuma.... Tengenezeni remix mje nayo labda itauza

halooo mpe maneno saiz yake huyo anaejipendekeza kwa kuongwa 10 elf 20 ili apelike umbea
 
Sasa nimejua kwa nini CCM na watu wao wanaihara CDM. Ukweli ni kwamba Chadema inajivunia watu jasiri, wazalendo na wenye moyo, wakati CCM imejaa watu waoga na wanafiki.

Kamanda Lema, hii ni miongoni mwa speech kali za mwaka huu. Nakushauri ipeleke kwenye gazeti na ichapwe kama makala.

Tunamwelewa sana kamanda wetu ni kichwa!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hoja ya kwanza ni kutoka kweye ahadi zake kabla wananchi wa Arusha hawajamchagua kuwa mbunge wao alitoa ahadi.

1) Zipo wapi Machinga Compex mbili alizosema atajenga.

2) Hipo wapi hospitali ya kina mama na watoto aliosema atajenga.

3) Zipo wapi ajira alizowahidi vijana Arusha.

4) Mpaka sasa hivi zimepatikana kiasa gani kwenye M4C mapato na matumizi.

Hizi ni hoja au ahadi?
 
kuudhiaki ujumbe huu,ni kudhiaki ukweli ambao ni hatua thabiti ya kupotea na kushindwa.kizazi cha nyoka...
 
kuudhiaki ujumbe huu,ni kudhiaki ukweli ambao ni hatua thabiti ya kupotea na kushindwa.kizazi cha nyoka...
 
samahani mkuu, nlitaka kumuomba mkuu lema atufafanulie kile kilichozagaa kwenye media na kwenye mitandao ya kijamii, namheshimu sana lema, namuheshimu sana kiongozi wangu. Apa katikati ametupa nyuzi murwa nlitegemea atakuwa anafanya hivyo hata kwa mengine

tangu lini wewe umeanza kumheshimu lema ? Haya mambo mnayoyafanya kwenye mitandao msije siku mkaomba poo , what goes around comes around , stay tuned .
 
Pesa za M4C nazo ni ahadi watanzania wanahoji zimetumikaje.

Matumizi ya michango pamoja na bajeti na hesabu za chama hutolewa ndani ya Baraza kuu la chama ambalo limepewa mandate na watanzania kwa niaba yao
 
laiti kama tungekuwa na viongozi 10 tu wa aina yako kamanda , basi nchi hii ingekwisha badilika kitambo sana , andiko lako ni bomba sana !
 
Hivi zile picha ziko wap? Tunazitaka ili tuzidadavue kujua pumba na mchele! mara ni za kugushi mara ni za kweli! Ziko wapi?

Humu Jf kuna wajuzi wa IT watasema tu! Tunaziomba kuziona.Nipe link mimi
 
samahani mkuu, nlitaka kumuomba mkuu lema atufafanulie kile kilichozagaa kwenye media na kwenye mitandao ya kijamii, namheshimu sana lema, namuheshimu sana kiongozi wangu. apa katikati ametupa nyuzi murwa nlitegemea atakuwa anafanya hivyo hata kwa mengine

kwani unataka afafanue namna gani! amefafanua jana kwamba hiyo ni kazi inayofanywa na uvccm kumchafua. Sasa unataka nini mkuu. Rudi kwenye maada.,jadili maada iliyopo mbele yetu.
 
Back
Top Bottom