Lengo la siasa ni nini duniani?

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
19,784
31,707
Habari wakuu wa jukwaa hili,

Sitaki kuwachosha hata kidogo ngoja niende moja kwa moja kwenye mada,

Lengo la siasa duniani ni nini kwanini kuna siasa?

Je ni lazima ukiwa mwana siasa uwe mnafiki?

Je lazima ukiwa mfuasi wa wanasiasa lazima akili zako wazishike yaana wakushikie akili? Kila kitu wanachoongea kwako kiwe sawa tu?

Nawasilisha
 
e116f6dde24bab9cc74942ecbf342f9b.jpg
hili hapa
 
Back
Top Bottom