StarehePombe ni lishe,kinywaji na chakula kinachopendwa sana na mamilioni ya wanadamu duniani kote.
Mtu anapokunywa pombe,humsahaurisha (kwa muda) na matatizo, msongo wa mawazo, madeni, shida, unyonge/upweke na kujiona yeye yupo juu ya mbingu na nchi.Mlevi/mnywaji hujiona yeye ni yeye, yeye ni raia namba moja hapa duniani. Wengi hupenda kunywa pombe nyakati za jioni.Kwa hapa Tanzania, pombe hunywewa zaidi ya soda.
Kuna ambao wakinywa pombe,huanza kuongea kiingereza mpaka kichina...na kuna ambao hugeuka mabondia!
Pombe humkumbusha mtu mambo mengi ya zamani na huleta hisia kali. Pombe huleta ujasiri.
Japokuwa pombe huleta hasara kiuchumi, imekuwa n vigumu sana watu kuacha/kupunguza pombe. Na mara nyingi wanywaji wengi hubajetia pombe toka kwenye mishahara (vipato) vyao,hata kama mshahara/kipato kiduchu namna gani.
Kwe wanaotumia pombe, unafikiri nn lengo la kunywa pombe?
Nawasilisha.
Hahaa.. Loh..!Una maana gani?alishasema tusimjaribu!tukimjaribu tutalewa sisi.
Utasahahu njia ya nyumbaniUna maana gani?alishasema tusimjaribu!tukimjaribu tutalewa sisi.
Utalewa miaka minne shauri yako.vyote ni vya muda mfupi sana.
Mbona umeanza na majibu halafu ukamaliza kwa swali?Pombe ni lishe,kinywaji na chakula kinachopendwa sana na mamilioni ya wanadamu duniani kote.
Mtu anapokunywa pombe,humsahaurisha (kwa muda) na matatizo, msongo wa mawazo, madeni, shida, unyonge/upweke na kujiona yeye yupo juu ya mbingu na nchi.Mlevi/mnywaji hujiona yeye ni yeye, yeye ni raia namba moja hapa duniani. Wengi hupenda kunywa pombe nyakati za jioni.Kwa hapa Tanzania, pombe hunywewa zaidi ya soda.
Kuna ambao wakinywa pombe,huanza kuongea kiingereza mpaka kichina...na kuna ambao hugeuka mabondia!
Pombe humkumbusha mtu mambo mengi ya zamani na huleta hisia kali. Pombe huleta ujasiri.
Japokuwa pombe huleta hasara kiuchumi, imekuwa n vigumu sana watu kuacha/kupunguza pombe. Na mara nyingi wanywaji wengi hubajetia pombe toka kwenye mishahara (vipato) vyao,hata kama mshahara/kipato kiduchu namna gani.
Kwe wanaotumia pombe, unafikiri nn lengo la kunywa pombe?
Nawasilisha.
Haaaa haaa hii kitu ni kweli iseee, niliwahi kuishi Songea, pale town kuna pub inaitwa Vijana pub… yaani bila kunywea pale nilikua naona utamu wa pombe unapunguaLa kuongezeaaa....
Kuna Bar zina pombe Tamuu balaa...
Yaani ukishakuwa Tamuu..hata bar iwe wapi utaifuata tuu.....
Mimi kile kiosk nakunywaga bia sitaacha..