MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,705
- 21,851
Itakua couple ya MilleniumLe Mutuzz amuoe giggy money.Wanafanana sana
Kweli asee hata mm lili ni block kisa nalijua tokea likiwa dogoHili jamaa la hovyo ukilieleza ukweli asioutaka ana Ku block
Comment kwenye blogu na insta yake zinazoruhusiwa Ni za kumsifu tuu.
Le akili mbovus u know
Hahahahaaa wewe si ulijidai hizi habari huzipendi?Ni kweli shati lake linauwezo wa kufunika Starlet?
Yaani mpambe nae ana wapambe eti mfanyabiashara mkubwaHana biashara yoyote zaidi ya upambe kwa matajiri njaa
mpambe nae ana wapambe ha ha ha ha ha haYaani mpambe nae ana wapambe eti mfanyabiashara mkubwa
we mtu huu uandishi wako nimecheka sana daaah ha ha ha ha ha ha ha haMfanyabiashara mkubwa jijini Dar es Salaam na mmiliki wa vyombo vya habari (blog ya wananchi na live straight talk) ndg Lemutuz anatoa hela kwa shindano alilolianzisha na hivyo wataalam wa mambo kutafsiri kama fursa kwa vijana kutoka kwa tajiri huyoo huko instani.
katika shindano lake la kwanza Lemutuz au akili kubwa kama anavyoitwa na wasomi nchini alitaka mashabiki wake washindane kutaja majina ya watu aliopiga nao hii picha,huku akitaka pia wataje muda wakati picha hiyo inachukuliwa,bila kusahau tarehe huku akitaka pia wadau waseme kama alkuwa amelewa au laa na kama alkuwa amelewa basi alkuwa amkunywa bia ngapi ambapo hamna mtu aliyeweza kupata hiyo hela na hivyo kuamua kuja na swali lingine hapo baadae
Teh teh..hivi Yericko na Akili Kubwa ukiwapa mtihani wa General knowledge tu unahisi nani atatishaHahaha Mfanya biashara mkubwa .....Teh Teh umenikumbusha Yericko nyerere