Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,714
Swali la uelewa kwa wanajukwaa tafadhali.Je huyu mwamba ni miongoni mwa g55?Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amesema anashangazwa na namna ambavyo Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu amekuwa akijibu wanachama wanaotoa maoni tofauti kuwa hatumii lugha nzuri wala namna nzuri.
Pia soma > Lembrus Mchome: Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli ni dikteta uchwara
Akizungumza na wanahabari leo April 8, Mchome amesema “kama tunakuwa na viongozi ambao wanajiita wanademokrasia lakini wao sio waumini wa demokrasia”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mchome amemtolea mfano Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe kuwa alikuwa kiongozi ambaye alipokea maoni hata mbadala bila kuchukulia kwa ubaya “tulikuwa na Kiongozi aliyepita Mzee wetu Freeman Mbowe alikubali kupokea yote, alikubali kukosolewa aliyapokea yote”
View attachment 3297110
Kanda yake ya kiuongozi pekee inanipa maswali iwapo sii timu mw.kiti mbuyu ulio ng'ooka na iwapo kama sii sehemu ya g55 a.k.a mpox55.?Huyu Mchome si alikuwa mmoja wa mashahidi kwenye kesi ya Mbowe ya kubambikiwa ya ugaidi?
DiktetaMwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amesema anashangazwa na namna ambavyo Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu amekuwa akijibu wanachama wanaotoa maoni tofauti kuwa hatumii lugha nzuri wala namna nzuri.
Pia soma > Lembrus Mchome: Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli ni dikteta uchwara
Akizungumza na wanahabari leo April 8, Mchome amesema “kama tunakuwa na viongozi ambao wanajiita wanademokrasia lakini wao sio waumini wa demokrasia”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mchome amemtolea mfano Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe kuwa alikuwa kiongozi ambaye alipokea maoni hata mbadala bila kuchukulia kwa ubaya “tulikuwa na Kiongozi aliyepita Mzee wetu Freeman Mbowe alikubali kupokea yote, alikubali kukosolewa aliyapokea yote”
View attachment 3297110
Dogo siasa zisikuvue utu kiasi hiki,Chiba ni boya sana
Kelele nyingi kumbe mchele
Naona kaanza kuutaka Uchaguzi
🌈Chiba ni boya sana
Kelele nyingi kumbe mchele
Naona kaanza kuutaka Uchaguzi
Lissu alimuita Mbowe ni Robert Mugabe. Ila Mbowe alivumilia hakumfukuza nafasi yoyote ya uongozi.
Nina uhakika hujamsikiliza. Amesema akidi ya baraza kuu haikufikiwa. Walikuwepo Mchungaji Mapinduzi, Mwaipaya, Pambalu, Mwamakula ambao sio wajumbe. Hawa wote walipiga kura kama wajumbe wa baraza, technically Mchome yupo 100% sahihi kanuni zilikiukwa. Japo motivation yake inaweza kuwa ni hasira, disappointment.Huyu mpuuzi kweli, anamkosoa LISSU au anamkosoa maamuzi ya Chama?.
Likichwa likubwa ila limejaa matope .