chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,981
Hakuhama alifukuzwa. Hatapokelewa hata skitaka kurudi njia zimekataa.
Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Kahama Mjini katika Uchaguzi Mkuu mwaka jana kwa tiketi ya Chadema, James Lembeli amesema hana mpango wa kurudi CCM.
Lembeli alisema licha ya chama hicho kupata Mwenyekiti mpya kimejaa wanafiki, hivyo siyo kazi rahisi kurejea katika chama chake cha zamani.
Akizungumza kwa simu kutoka kijijini kwake, Bulungwa katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama jana, Lembeli alisema anashangazwa na kitendo cha makada wa CCM kumpigia simu wakiwa Dodoma wakidai mbona hakurejea ndani ya chama hicho.
Kabla ya kuhamia Chadema, Lembeli alikuwa Mbunge wa Kahama kwa miaka 10 kupitia chama tawala kuanzia mwaka 2005 hadi 2015 alipoamua kuhama.
Chanzo: Mwananchi
mkuu huyo prostitutes wa bongo movie umemuweka wa nini hapo hana hadhi ya kujadiliwa jforummzalendo wa kweli sio kama hawa
ngombe wasio na mikia
mrema
jaky wolpa
mpendazoe
msindai ..........................
Weka akiba ya maneno......usiwaamini sana wanaccm hata kama hawapo ccmHuyu ana akili sana!
mkuu weka akiba ya maneno kwenye kusimamia kauli hapo,unawagusa wengi especially kama wewe ni upinzaniNampa heko mke wake kweli ameolewa na mwanaume haswa mtu makini anaesimamia kauli zake, kina mpendazoe, mrema na wale ng'ombe wengine waliokatwa mikia ni aibu hata kuwatambulisha kwenye sherehe kuwa ndio mzazi wako, hawakawii kukana hata watoto wao, wana njaa mbaya sana ya kichwani.
kajadiliwa sana humu huyo kama aliweza kupewa airtime na ccm anashidwaje kujadiliwa hapa au wewe hukumuonamkuu huyo prostitutes wa bongo movie umemuweka wa nini hapo hana hadhi ya kujadiliwa jforum
Akiba ya nini? Mwanaume usiku mnalala anakuambia maneno halafu asubuhi anakuambia fulani kaja kuniomba sasa yale ya usiku tuyaache, haa?! mwanaume anaendesha maisha kwa akili ya jirani?! hovyo tu.mkuu weka akiba ya maneno kwenye kusimamia kauli hapo,unawagusa wengi especially kama wewe ni upinzani
Kama hujui kitu unapiga kimya itakupa heshimaHakuhama alifukuzwa. Hatapokelewa hata skitaka kurudi njia zimekataa.
Kweli kabisaHuyu ana akili sana!
hahahaha jfNampa heko mke wake kweli ameolewa na mwanaume haswa mtu makini anaesimamia kauli zake, kina mpendazoe, mrema na wale ng'ombe wengine waliokatwa mikia ni aibu hata kuwatambulisha kwenye sherehe kuwa ndio mzazi wako, hawakawii kukana hata watoto wao, wana njaa mbaya sana ya kichwani.
unaandika kutoka wapi mkuu?Hakuhama alifukuzwa. Hatapokelewa hata skitaka kurudi njia zimekataa.
Kumbe hata no school huwa wanafanya utafiti? Amazing![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwa mjibu wa utafiti chama kilichoongoza kwa unafiki zaidi duniani 2015 ni Chadema