Lembeli - Ondoeni Mafisadi CCM

kapotolo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2010
Posts
3,727
Reaction score
2,221
Mbunge wa Kahama James Lembeli amewaonya wana-ccm wasipokisafisha chama wasishangae watakapokosa majimbo yote ya mkoa wa Shinyanga.
Ameomba Mafisadi watimuliwe kwenye Chama ili chama kiendelee kukubalika miongoni mwa watanzania.
Ameshangaa kuona mkoa wa Shinyanga ukipoteza majimbo matano kati ya 11.

Source: ITV
 
Sio kukosa majimbo kimeshakufa ccm chama kipo njiani kuzikwa, kimebakia jina:lol:
 
Ni wachache sana wanaozungumza hiyo lugha ndani ya ccm, hiyo lugha haiwezi kusemwa na makamba & co hata siku moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…