SERIKALI za mitaa walifanyaje? Naona iko kazi mwaka huu, maana wanatishana tu, hata kama humtaki unaogopa kumkata!Akihutubia Mamia ya Wananchi Jimboni kwake, Mbunge wa Kahama, amewataka wananchi wake wafanye kama walivyofanya uchaguzi wa mtaa,
Kwamba kama chama chake kinaweka mtu asiyekubalika yeye afanyeje?...."Mimi ndio wa kuja kuzomewa? Mtu anatishia kukata jina, basi kateni jina langu, ukate jina langu we nani? "basi kateni Jina langu muone" aliongeza mbunge huyo machachari huku akishangiliwa na hadhara aliyokuwa akihutubia
Source ITV.
Hii inaonesha CHADEMA imewaingia wananchi kwenye damu....... note ...fanyeni kama mlivyofanya uchaguzi wa serikali za mitaa na wananchi kushangilia Kwa nguvu.........
Akihutubia Mamia ya Wananchi Jimboni kwake, Mbunge wa Kahama, amewataka wananchi wake wafanye kama walivyofanya uchaguzi wa mtaa,
Kwamba kama chama chake kinaweka mtu asiyekubalika yeye afanyeje?...."Mimi ndio wa kuja kuzomewa? Mtu anatishia kukata jina, basi kateni jina langu, ukate jina langu we nani? "basi kateni Jina langu muone" aliongeza mbunge huyo machachari huku akishangiliwa na hadhara aliyokuwa akihutubia
Source ITV.
Hii inaonesha CHADEMA imewaingia wananchi kwenye damu....... note ...fanyeni kama mlivyofanya uchaguzi wa serikali za mitaa na wananchi kushangilia Kwa nguvu.........
Ukishaanza kula nyama ya mtu huwezi kuacha utaendelea kuila tu..!
Hichi ndicho kinawakuta Ccm watatafunana wenyewe kwa wenyewe mpaka wamalizane na bado hapo sinema ndio kwanza inaanza.
Kaweka wazi kabisa ujumbe uwafikie hata viongozi wake wa chama.
Ni pale mh huyu anapo watishia viongozi wakuu wa chama chake kwamba wa jaribu kukata jina lake kwenye wagombea wa ubunge waone kitakachotokea.
Pia kama hiyo haitoshi kuwa shawishi wapiga kura wa jimboni kwake kuchagua mtu na si chama.
Haya anafanya kwenye mikutano ya hadhara na si katika vikao rasmi vya chama. Nina haki angekua Mznz kama Moyo angesha fukuzwa. Hapa Utanganyika wake ndio una mbeba.
We unafikiri sababu ni nini?

Wewe ulitakaje kwani?