Lema yuko Sahihi Waislamu Wana Uwezo wa kuwatetea Wanasiasa wa Kiislam Lakini hawawezi kuwatetea Wanazuoni wa Kiislam!

Nahisi ni uhafifu wa nguvu za kidola sio kuwa saudia ni wanafik muislam nduguye ni muislam ila zama hizi kuna lijidola lina maguvu(NATO) ukifanya tu fyoo utajutia maisha

All in all, power comes and go
Nenda Misri tu hapo utaona jinsi waarabu wanavyo wabagua watu weusi tena waislam wenzao....acheni utuwmwa wa kifikra kwa hizi dini zilizokuja na meli
 
Waislam wa Tanzania kwa uchache wao hawajawahi kupendelewa na yoyote sans sans huonekana ni magaidi

Nyie bakuata ndio mnaozeshwa Wagalatia ili muikaribie keki na mpewe Vyeo 😄😄

Mkono wa Kanisa ni mpana sana, Zanzibar wanagombea leseni za kuuza Mkojo wa firauni halafu ndio mnajiita Islam kama Taleban 😂😂
Mnalialia nn wakati mpaka wazanzibar wapo huku bara tena viongozi wakubwa ,ila wala nguruwe kule zenji hamuwezi kuwa viongozi 😅😅.

Wakati mgalatia amefariki kwa mpango wa Mungu ili muislamu aongozw gap tayari 😅😅...Nyie mtabaki chini miaka kubwa waislamu wanashika vitengo ,bado ndio celebrities wakubwa kuiwakilsha nchi nyie mko wapi wala nguruwe?

Sasa mnapambana kuhama maana iko wazi papa kapitisha ushoga ,just imagine baba anaolewa kanisani😳
 
Pamoja na mapungufu ya Godbless Lema Lakini angalizo kwa ndugu zake Waislamu limebeba Uzito wake

Utakuta Wanazuoni wa Kiislam walioko magerezani kwa kesi za ugaidi watetezi wao huwa ni Wakristo na wala siyo Waislamu wenzao hali inayopelekea wengine kufungwa na kunyongwa

Kwa maana nyingine Lema amesema si vema Mujahideen kuwa Chawa wa binadam bali muwe Chawa wa Allah

Hata machafuko ya Mwembechai aliyeyazima ni Mgalatia Augustine Mrema rip

Tumvumilie Lema kwa Unabii wake

Sabato njema 😄
Jamii forum kuruhusu mijadala kama hii ni hatari. Jamii zetu zimechangamana sana. Unakuta baba muislam mama mkiristu. Na hatujaeahi kuona shida.

Sasa kama mijadala ya msingi imetushinda bora tukae kimya. Hizi dini tumeketewa tusisahau historia. Na bado kuna mataifa makubwa na yameendelea haeana wakiristu wala waislam na maisha yanaenda. Haya mambo kujidai tunamjua Mungu sana kwa kupitia imani zinazotugawa hayatufikishi mbali.

Hata kuanzisha uzi kama huu unajipambanua kama mdini. Hata Tanzania yetu wamewahi kuwepo watu wasiamini katika hzi dini kuu 2 na walipeea dhamana ya uongozi na maisha yakaenda.

Pia hili taifa ni kubwa kama hujatembelea huko vijijini huwezi kujua hadi leo kuna maeneo hawajui wala hawaamini katika dini za kigeni. Wwatanzania tunachotaka ni uongozi bora, hoja makini, maisha bora na huduma safi na kwa usawa hata kama sio sawasawa.

Hivi kupata ujasiri wa kujadiri dini ya mwenzio ina maana katika mzunguko wa maisha yako hauna hata rafiki wa imani nyingine? Kwanini usione aibu? Yawezekana kama si wewe labda ndugu yako riziki anayoipata inayoka kwa mtu wa imani tofauti na yeye.

Tafadhali tusifike huko hata pale tutakapo firisika hija za kisiasa.
 
Acha sensationalisation.....dini hazikufikishe popote kwenye maisha yako
 
Pamoja na mapungufu ya Godbless Lema Lakini angalizo kwa ndugu zake Waislamu limebeba Uzito wake

Utakuta Wanazuoni wa Kiislam walioko magerezani kwa kesi za ugaidi watetezi wao huwa ni Wakristo na wala siyo Waislamu wenzao hali inayopelekea wengine kufungwa na kunyongwa

Kwa maana nyingine Lema amesema si vema Mujahideen kuwa Chawa wa binadam bali muwe Chawa wa Allah

Hata machafuko ya Mwembechai aliyeyazima ni Mgalatia Augustine Mrema rip

Tumvumilie Lema kwa Unabii wake

Sabato njema 😄
CCM ni mapaka
 
Nenda Misri tu hapo utaona jinsi waarabu wanavyo wabagua watu weusi tena waislam wenzao....acheni utuwmwa wa kifikra kwa hizi dini zilizokuja na meli
Mkuu mm nimeongelea uhalisia inshu ya ubaguzi ipo kote duniani hata kwa wachezaji wa mpira tunaona kwaiyo usitokwe povu kwakuwa nimesema muislam nduguye ni muislam
 
Sasa mnalia nn kwa anapendelea waislamu?

TEC wamepuuzwa zile porojo zao mpaka wameshtaki kwa papa....
Kutajwa neno Ramadan wagalatia wote wanakuja juu, hata wewe hujafunga.!
Hivi hiki ulichoandika unakielewa?

Catholic Church is the most powerful and well structured spiritual and governing institution in the world
Powerful than any religion, government and any institution you may think of
Ndio maana hatuhitaji kufanya sijui mikutano ya injili au mihadhara kama watoto wa Muhammad sis tulishajipanga kitambo sana na Mungu anatusimamia na hatuhitaji sijui jihad sijui nini ili dini ienee hatuhitaji kuua wenzetu ili kusambaza dini
Kwahiyo ukiwa unaandika jifunze kwanza namna gani kanisa katoliki linafanya kazi na kujiendesha
 
Mnashabikia dini kama simba na yanga

Afrika ni bendera fuata upepo izo dini waachieni walokuja nazo ndo wajuvi zaidi nyie hapa mnatupigia kelele tu
 
Hivi hiki ulichoandika unakielewa?

Catholic Church is the most powerful and well structured spiritual and governing institution in the world
Powerful than any religion, government and any institution you may think of
Ndio maana hatuhitaji kufanya sijui mikutano ya injili au mihadhara kama watoto wa Muhammad sis tulishajipanga kitambo sana na Mungu anatusimamia na hatuhitaji sijui jihad sijui nini ili dini ienee hatuhitaji kuua wenzetu ili kusambaza dini
Kwahiyo ukiwa unaandika jifunze kwanza namna gani kanisa katoliki linafanya kazi na kujiendesha
Powerful wapi mbona mmeshindwa ishu ya mkataba hapa Tz na porojo zenu za TEC? powerful mngekuwa kipind cha Nyerere sio sasa.

Nionyeshe wapi yesu alikuwa mkatoliki ,huo ukatoliki wako ni nadharia hauna kitu cha kufanya zaidi ni porojo ba vitisho.

Kwa hiyo wakristo wengine hamuwatambui nyie ndio vinara .😅
 
Marekani ni nchi ya wakristo kuanzia lin?😅😅acheni shobo kwenu pale vatican.

Raia wa Marekani hawaji Tz na africa kwa ujumla ? Punguza ujinga ndio unaona sawa wewe na Marekani kweny gun violence kila siku.

Wewe na Marekani labda kweny ndoa za jinsia moja ndio mnafanan😅
Ndio nchi ambayo visa yake inaongoza kwa kuombwa na watu wengi duniani na ndio kimbilio la watu wengi wakiwemo jihadists kama wewe.
 
Sio ya kikristo basi! 😅😅 shobo kibao ile sio nchi yenu ,kwenu kule vatican hata israel sio kwenu.
 
Back
Top Bottom