babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,327
Kama ni hivyo ngoja nikajiandikishe ili niweze kumpigia kura.manake alivyokatwa nilikasirika hata kujiandikisha sijaenda.hata kama kaenda Chadema sijui mm sijali nitamchagua tunachagua mtu sio chama bana
Huyo fisadi hawezi kusababisha CCM iondoke madarakani
Hakuna jipya hapo. Wajanja tulishajua kitambo. Anapita mule mule
AS HUMAN TEND TO THINK POSITIVELY......
"CCM" NI CHAMA FULANI,CCM SIYO "MUNGU"
NI UPUMBUVU KUTOKUWA MOVABLE WAKATI WA KUFANYA HARAKATI MBALIMBALI.....
......."CCM SIYO BABA YANGU WALA MAMA YANGU"........JKN.
.....CCM ILIYOKUWA CCM IMEKWISHA NYAKULIWA NA KUWEKWA MIFUKONI NA WACHACHE......
....DEMOKRASIA HAIPO TENA KTK CHAMA CHETU KILE.....NI UBABE ULE WA AKINA ......
ii
mnamsema mtu fisadi kwakuambiwa hamjui hata maana ya richmond wala escrow ninini sasa mmebaki kuropokatu oofisadi oofisadi kisa eti mmesikia mnajua kilicho tokea? je hamjui kunasirinzito lowasa anayo na ataiweka hadharan mda mref acheni ubwete ileni siasa msihukumu kwakusikia
Mbunge wa Arusha Mjini,Godblees Lema, amesema watapokea "kigogo mkubwa" kutoka CCM pamoja na wenyeviti wa mikoa na wilaya katika mkutano utakaofanyika Dar-es-salaam.
Chanzo:Mtanzania
CCM mwaka huu lazima mtafute mchawi wakati mchawi/wachawi mlicheza nao mziki pale ukumbini.
Lowasa ndani ya Ukawa...Nchi itatikisika ...Simba wa Yuda ataunguruma muda si mrefu

Siasa za mafisadi hizo