Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,639
- 164,779
Waondoke tu hao mafisadi. Hawana chao CCMKwa taarifa tu,gazeti la Mwananchi la leo tarehe 25/07/2015,lina habari inayosema mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha, Ole Nangole,amesema Lowassa hakutendewa haki.
Siasa za mafisadi hizoDuh..... Siasa
Huyo fisadi hawezi kusababisha CCM iondoke madarakaniCcm bye bye
Bila shaka mnajuta kimoyomoyo.Huyo fisadi hawezi kusababisha CCM iondoke madarakani
Hakuna jipya hapo. Wajanja tulishajua kitambo. Anapita mule mule
Huyo fisadi hawezi kusababisha CCM iondoke madarakani