PreGE2025 Lema: Nyie wananchi ndiyo chanzo cha maisha kuwa magumu

PreGE2025 Lema: Nyie wananchi ndiyo chanzo cha maisha kuwa magumu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Taifa Godbless Lema akiongea na wananchi wa Bukoba mjini katika ziara yao ya No reforms No Election.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Nyie wananchi ndiyo mnafanya maisha ya nchi hii yanakuwa magumu. Aidha mama kama mume wako anasikilizia mikutano hii nyuma ya kanisa kwa kumuogopa OCD, Mtendaji ukirudi nyumbani mpe kanga
 
Back
Top Bottom