Hiyo ndio kauli ya Lema baada ya kupata dhamana.
Mi najiuliza tu, hivi kuna mtu aliyewahi kufungwa kwa kosa la kutokula?? Kesi nyingine polisi wanaziandaaga ili kuwapa watu maujiko yasiyostahili tu.
Alokwambia kuwa alikuwa anatuombea wana wa Arusha nani! Ye alikua anaombea wahisani wamuongezee posho kwa kuwa kakaa lockup.Hakika amefunuliwa..ametumwa kuwakomboa wana Arusha na watanzania kwa ujumla
Kwavile uko ccm mmezoea kuishi kwa hisani,ukadhani kila mtu anaishi kwa hisani.Alokwambia kuwa alikuwa anatuombea wana wa Arusha nani! Ye alikua anaombea wahisani wamuongezee posho kwa kuwa kakaa lockup.
Kumbe hi meseji imefufua hadi wafu,we Arusha unakaa sehemu gani ambako ccm wana pumzi?Alokwambia kuwa alikuwa anatuombea wana wa Arusha nani! Ye alikua anaombea wahisani wamuongezee posho kwa kuwa kakaa lockup.
Hiyo ndio kauli ya Lema baada ya kupata dhamana.
Mi najiuliza tu, hivi kuna mtu aliyewahi kufungwa kwa kosa la kutokula?? Kesi nyingine polisi wanaziandaaga ili kuwapa watu maujiko yasiyostahili tu.
kutokula sio kosa ila hilo ni jaribio la kutaka kujiua,akifia mahabusu?aligoma kula ili aumwe atolewe kule pabaya!hakuna grade ya juu wala ya chini mnakuwa sawaKama kosa ni kutokula basi hata mm inabidi nipelekwe maakamani
Labda amefunga kupata kick na front page, anayefunga hajitangazi vilevile Tanzania tunahitaji maendeleo sio ukomboziHakika amefunuliwa..ametumwa kuwakomboa wana Arusha na watanzania kwa ujumla