Lema na Nasari wakisaidia uokoaji.

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,664
Ni katika mgodi wa moram Arusha.
 

Attachments

  • kamandas.jpg
    35.2 KB · Views: 785
haya ndo yanatakiwa kwa jamii na sio kwenda kwenye matukio na kuangalia picha tu
 
Kwenye ghorofa iliyoanguka Dar sikuona kiongozi ameshika beleshi au machela.
 
Mbatia ametoa fundisho zuri kwa wanasiasa. Hivi ndivyo inavyotakiwa, kujifunza mambo mazuri.
 
Yule diwani aliyejipachika umeya alikuwa pembeni anasubiri wanaume wamalize kazi aanze kubwabwaja,na mulongo alikuwa anasubiri gloves na atandikiwe mkeka ili asichafuke.
 
Mungu awatie nguvu waliopoteza wapendwa wao na janga hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…