Lema na Msofe kituko Arusha!

Mkiona intarahamwe wanavyo haha kila kitu wanasema ni wao mpaka zile hoja zetu za mwaka 2010 kwenye kampeni walizosema hazitekelezeki sasa wanaona zinawafa nyie intarahamwe jipangeni kuwa chama cha upinzani pindi uchaguzi wa 2015 utakapofanyika nyie na mchepuko wenu wa Act
 
kwan mengen siku hizi unajenga shule au unazindua?
 
Nilikuja na moto kweli kuna nini tena Lema Arusha? Kumbe hamna lolote....!
 
Jamani tafuteni hoja ya maana hii haijakaa sawa, arusha kila mtu anajua kuwa ni sehemu kubwa au tunaweza kuita ngome kuu ya chadema sasa inawezekanaje mtu kualikwa katika mnuso ambao haujachangia nani atakubali akupe kadi ya kuja kula bila kutoa mchango hii ilikuwa mwaka 47 siyo miaka hii....................jibu tosha hilo
 
Lema, Mbowe, Slaa wote ni ny-r- tu.

Kuanzia saa 10 alfajiri kuku wanapowika nao kabla hata ya kupiga mswaki hukashifu serikali huku wakiwa wamelaa kwenye nyumba zenye UMEME, MAJI; huku wakisafiri kupitia barabara za lami wanazobeza kila siku, huku wakitua kwenye viwanja vya ndege wanavyobeza kila siku. In short hawa wanafana kwa karibu na LUSIFA, SHETANI, IBIRISI ambaye kila MUNGU alichofanya wao walikisoa! Ole wa nchi na bahari maana mbowe na kundi lake limetupwa kwao!
 
kwani lema unadhani amewahi kuwa na akili hata siku moja?

wewe unanini hapo... Mwenzio ni m'bunge tena wa jimbo muhimu sana. Tuamibe wewe ni nani? Msubiria posho ya buku saba
 
Hivi kwanini miradi lazima izinduliwe? Rudia kusoma post, inaonekana Lema/Msofe walishiriki tukio la Mwenge kuzindua hio miradi
Nimekuelewa. Habari hiyo imeandikwa kwenye gazeti la UHURU. Wao wameliandika kisiasa kwa maana ya kwamba walitaka Lema na Msofe watoe michango yao moja kwa moja kama watu binafsi sio kama walipa kodi wengine. La kujiuliza je viongozi wote wa CCM waliokuwepo walichangia?! Hivi kwa mfano ni kila mradi anaouzindua rais au kiongozi yeyote ni lazima awe amechangia?! Kwa gazeti la uhuru niemelewa lengo lao. Jinsi walivyoiandika ni kana kwamba waliokuwa wanazindua ni Lema na Msofe na sio hao viongozi wa mbio za mwenge na kuwa Msofe na Lema walikuwepo kama viongozi wa Arusha. Kama ndivyo basi huo ni wendawazimu wa mhariri wa gazeti hilo
 
Hapa ndo nwashangaa watanzania, Kwani hizo fedha zilizotumika si kodi za wananchi, na hao si ndo wasimamizi wa fedha hizo za walipa kodi arusha? hizo fedha za ujenzi zimetoka wapi?
 
Hapa ndo nwashangaa watanzania, Kwani hizo fedha zilizotumika si kodi za wananchi, na hao si ndo wasimamizi wa fedha hizo za walipa kodi arusha? hizo fedha za ujenzi zimetoka wapi?

pole yako wewe division 5 usiyeelewa hata hoja iliyo mezani. Hoja ni kwamba yy kuzindua hospitali aliyokuwa anapinga isijengwe.
 

hapa HOJA NI YEYE KUZINDUA MRADI ALIOKUWA AKIUPINGA!
 

hahaha wana ule msemo wao "DAMU ITAMWAGIKA HADI KIELEWEKE" kama walivyomwaga za kina Mwangosi.
 

imekuingia eee? Tulia!
 
ahadi nyingi za lema hazijatekelezeka, nakumbuka kumsikia katika mkutano wako moja pale arusha akisema kwamba, anawashukuru sana wana arusha kwa kumchagua yeye kwa maaana na yeye kafanikiwa kununua gari nzuri, na kupeleka watoto shule nzuri, nadhani hicho ndicho kafanikiwa zaidi mengine hakuna..
 

hahahaha, kingine alichofanya ni Kuuza Ambulance mbili za wagonjwa
 

Akili za kuambiwa tumia na zakwako.Hivi Raisi ni kweli hafanyi ziara Arusha?na kuna koko anaweeza kumzuia Kikwete asifike Arusha?kama yupo na ajitokeze
 
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na Naibu Meya wa Jiji la Arusha Msofe wazindua Hospitali ambayo hawakushiriki kuijenga katika mbio za Mwenge!
Source; Habari Magazetini.

Wewe ulitakaje?kwani siku zote wanaozindua ndo huwa wanajenga?wewe ni Mtanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…