Chibolo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 5,768
- 8,037
makanda hao wamekuja hapa wilayani kushriki mazishi ya aliyekuwa mgombea wa chadema ndg.parakipunyi kupitia chadema 2010.hata hivyo kamanda lema amekuwa kivutio kikubwa ambapo kila mtu alitaka kumuona na wananchi wamefurahi namna walivoshiriki mazish haya.kesho anatarajia kufanya mkutano mkubwa wasso hapa loliondo.