Lema: Mbeya itakuwa Msaada mkubwa sana wa Mabadiliko na Uamsho wa Nchi!

Hivi Lema ambae alifeli kidato cha nne ataachaje kuchoka?
Kuna waliofaulu kwa kuoata division one mtaani wengi tu ila mpaka leo hawana future

Kama kufaulu kidato cha nne ndio kipimo chako cha mafanikio basi you still have a long way to go
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh God bless Lema anesema kupitia ukurasa wake wa X kuwa Mbeya itakuwa Msaada mkubwa sana kwa Mabadiliko na Uamsho wa Nchi

Mlale Unono 😃😃
msaliti huyo alimkimbia Makamu Mwenyekiti Taifa alipokua ziarani kwenye kanda yake
 
Nakumbuka ule wimbo wa watu wa mbeya wakati wakishangilia ushindi mitaani "MALOFA TUMECHUKUA NCHI " wakati wa uchaguzi wa 2015 baada ya Sugu kutangazwa mshindi kwa ushindi mkubwa na Lowasa kuwa anaongoza kwa kura nyingi za uraisi mbeya mjini
NB: Mkapa ndiye aliyewaita wapinzani malofa
 
Sijaelewa mkuu, ngoja nijaribu ku google kama ntapata idea
Usisahau kupita kwenye images na videos
Screenshot_20230922-134616.jpg
 
Nchi iamke mara ngapi ?!!!

Haiko usingizini.....yeye ndiye ameamka kutoka biashara za w....i wa magari.......
 
Back
Top Bottom