Lema: Mbeya itakuwa Msaada mkubwa sana wa Mabadiliko na Uamsho wa Nchi!

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh God bless Lema anesema kupitia ukurasa wake wa X kuwa Mbeya itakuwa Msaada mkubwa sana kwa Mabadiliko na Uamsho wa Nchi

Mlale Unono 😃😃
Watu wa Mbeya sio sawa na mateja wa Arusha au Manamba wa Mwanza.
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh God bless Lema anesema kupitia ukurasa wake wa X kuwa Mbeya itakuwa Msaada mkubwa sana kwa Mabadiliko na Uamsho wa Nchi

Mlale Unono 😃😃
Baada ya project yao ya kutumia mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kufeli ,hawa makamanda wanahamia Mbeya ?
 
Back
Top Bottom