Ngojeni tingatinga lije kukuomboa jimbo Lema atakuwa historia. Monaban fanya mpango haraka tingatinga lije wafanyabiashara Tunataka Geneva of Africa irudishe hadhi yake.
Nyie wana ACT mliopata walau kiti kimoja cha ubunge nnawapa taarifa kuwa CDM tunaongeza kiti moja cha Lema ambacho kitazalisha viti vya wabunge wawili wa viti maalumu.