Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya fedha ya chama hicho amesema endapo wanachama na wadau wakikichangia chama hicho kwa wingi kwa kiasi walichonacho kwani fedha hizo zitakisaidia chama hicho kufanya kazi zake na kuwafikia wananchi wengi.

Akizungumza leo machi 14 kwenye tukio la 'Tone Tone Night'
Lema amesema fedha hizo zitakisaidia chama kuacha hata kutegemea ruzuku ambayo wanapewa na serikali kila mwezi.
Ndiyo maana CCM wanaogopa sana kushindwa uRais maana yule Rais ambaye atashindwa lazima atashitakiwa kwa makosa yote haya. Hizo pesa za vikao vyenu mnatoa wapi? Muda huo ukifika audit itafanyika na kuona mliiba kiasi gani. Hapo hawezi kusalimika, hakitabaki kitu, jiwe juu ya jiwe na mtasaga meno kwa majuto.
Kwa tafsiri nyepesi, kuwa tegemezi hakuepukiki. Usipokuwa tegemezi wa ruzuku utakuwa tegemezi wa tone tone. Muhimu ni kujiridhisha na chanzo cha mapato ambacho ni endelevu. Ili upate ruzuku lazima sheria iendelee kuruhusu na kama chama kishiriki chaguzi na kupata kura zinazowesha kupata ruzuku. Kwa upande wa tone tone ni mashabiki na wanachama kuendelea kuelewa na kujitoa kwa ajili ya chama chao jambo ambalo linahitaji muda kujiridhisha kama litakuwa endelevu.
Ndiyo maana CCM wanaogopa sana kushindwa uRais maana yule Rais ambaye atashindwa lazima atashitakiwa kwa makosa yote haya. Hizo pesa za vikao vyenu mnatoa wapi? Muda huo ukifika audit itafanyika na kuona mliiba kiasi gani. Hapo hawezi kusalimika, hakitabaki kitu, jiwe juu ya jiwe na mtasaga meno kwa majuto.
Gentleman,
hakipo chama cha siasa cha upinzani Tanzania chenye nia, mipango wala uwezo wa kushinda uchaguzi, kushika dollar, kuunda serikali na kuongoza nchi ispokua CCM pekeyake.
Uende ukamueleze na Mwenyekiti wa chama chako kuhusu hili.
Chama cha siasa cha kuishinda CCM bado hakijaanzishwa na hakitarajiwi kuanzishwa karne hii.
Kwahivyo gentleman,
huna haja ya kubabaika na imani potofu na ramli za kujifariji π
hao vibaka na matapeli wa kisiasa wa chadema walijilipa kwanza mamilioni ya tone tone kabla hawajaondoka kama ulikua hujui gentleman,
tunaposema unatapeliwa na vibaka kuchangia matapeli tunamaanisha, we shupaza shingo tu na watoto wako wana lala njaa kwasabb ya kimbelembele chako cha kuchangia wapigaji na familia zao π
gentleman,
nachokaje kusema ukweli hali ya kua ukweli hauchoshi?
ni kitu mbaya sana anaejiona ana akili timamu kukubali kutapeliwa pesa zake kirahisi sana tena kidigitali kabisaa na matapeli na vibaka wa kisiasa π