M Mkombozi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 844 Reaction score 477 Mar 21, 2012 #41 Nasisitiza kua Vicent sio ukoo wa Nyerere.
I iMind Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 3,211 Reaction score 5,465 Mar 21, 2012 #42 FREDOMFIGHTER said: CCM bana eti na huyu naye ni mpiga debe kwenye kampeni za Arumeru Mashariki. Click to expand... Hahahaaaaa du jamaa arudi Gombe tuu. Amechoka.
FREDOMFIGHTER said: CCM bana eti na huyu naye ni mpiga debe kwenye kampeni za Arumeru Mashariki. Click to expand... Hahahaaaaa du jamaa arudi Gombe tuu. Amechoka.
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,369 Mar 21, 2012 #43 Memo said: Click to expand... huyo ndiye anayemshauri rais wenu!!!!!
Muke Ya Muzungu JF-Expert Member Joined Jun 17, 2009 Posts 3,444 Reaction score 265 Mar 21, 2012 #44 kwa hiyo, hizo ndo sera za CCM. Heri wewe na Sokwe wenu wasira mhamie seregenti..... hamfai kuishi na binadamu
kwa hiyo, hizo ndo sera za CCM. Heri wewe na Sokwe wenu wasira mhamie seregenti..... hamfai kuishi na binadamu
P Pelege Senior Member Joined Mar 1, 2012 Posts 137 Reaction score 11 Mar 21, 2012 #45 Lema ni mpigania haki na utu wa mwanadamu,hakuna jembe ambalo nalikubari kama lema! Lema tupo pamoja sana katika mapambano haya.
Lema ni mpigania haki na utu wa mwanadamu,hakuna jembe ambalo nalikubari kama lema! Lema tupo pamoja sana katika mapambano haya.
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Mar 21, 2012 #46 fisadimpya said: Baada yakumuumbua wazir mkuu mjengoni,imebainika ana kesi ya kujibu huku ishu ya "mama mdogo" ikiwa ni chambo,Lema siku za karibuni arumeru ameonekana mnyonge huku zile mbwembwe zake zikipungua sana,tusubiri tuone chezo Click to expand... Acheni upumbavu jamani Lema ni jembe lisilopungua makali! Njooni huku kama mnataka kumjua Lema vizuri
fisadimpya said: Baada yakumuumbua wazir mkuu mjengoni,imebainika ana kesi ya kujibu huku ishu ya "mama mdogo" ikiwa ni chambo,Lema siku za karibuni arumeru ameonekana mnyonge huku zile mbwembwe zake zikipungua sana,tusubiri tuone chezo Click to expand... Acheni upumbavu jamani Lema ni jembe lisilopungua makali! Njooni huku kama mnataka kumjua Lema vizuri