Lema: Kama Makonda, Biswalo na Gambo wako huru, basi Sabaya hapaswi kuwa jela

Hilo lipo wazi kwamba sabaya anaonewa kumfurahisha mtu.
Kaka umewahi kufika Kilimanjaro na ukapita Moshi mjini na Hai na baadae ukaenda Arusha enzi za utawala wa General Sabaya?
Kama hujawahi jaribu Sasa ukajipatia first hand information on how General was kwa watu ambao wamemu-encounter face to face ujue alikua mtu wa namna gani!
But wait anaonewa ili Nani afurahishwe na je asipofurahishwa Hugo mtu kitu gani kitatokea as long as alikua ndani ya CCM na Dola na mwwnyewe mahakamani alikiri kwa kinywa chake alikua anatumwa na mamlaka iliyomteua!

Kiufupi yule jamaa alilewa madaraka!
 
We ichukue hivyo Kwa kifupi na ukiamini ni story za town pia poa ila usifute comment hiyo Hadi Lema arudi. Anayo kesi mbichi. Intrepoll wanamsubiri. Kipindi kile akiwa Nairobi asingekamatwa kutokana political situation iliyokuwepo.
Political situation iliyokuepo Ni ipi Sasa wakati huo?
Ninyi wenyewe si ndio mnasema walidanganyabkutafuta assylum nje wakati kulikuwa hakuna chochote na jiwe hakua na shida nap?
Hivi huwa mnatunza kumbukumbuku kweli!
Mkisema wamejikimbiza kumchafua jiwe? Sasa Ni political situation ipi iliyokuepo ishindikane kumtia mbaroni lema hapo KE na wamsaidie kutoroka?
 
Kaka umewahi kufika Kilimanjaro na ukapita Moshi mjini na Hai na baadae ukaenda Arusha enzi za utawala wa General Sabaya?
Kama hujawahi jaribu Sasa ukajipatia first hand information on how General was kwa watu ambao wamemu-encounter face to face ujue alikua mtu wa namna gani!
But wait anaonewa ili Nani afurahishwe na je asipofurahishwa Hugo mtu kitu gani kitatokea as long as alikua ndani ya CCM na Dola na mwwnyewe mahakamani alikiri kwa kinywa chake alikua anatumwa na mamlaka iliyomteua!

Kiufupi yule jamaa alilewa madaraka!
Jinsi watu wanavyo mpotray Sabaya it is as if amefanya genocide huko hai jambo ambalo sio kweli. Hakuna tofauti yeyote kati yake na the likes of Makonda na wengine.

Kosa lake ni kwa Mbowe tu ambaye it happens ana mahusiano mazuri na the current administration

Kumtesa sabaya na kuwaacha wengine wanao fanana nae ni cherry picking which is very unfair.

Kama kweli utawala huu unataka kudeal na watu wa awamu ya tano ufanye kwa wote na sio kuchagua chagua wa kuumiza. Huo ni uonevu kama mwingine tu.
 
Biswalo alikua mtu wa Jiwe, na katuhumiwa kupora fedha. Jiwe anaingia moja kwa moja. Nishawaambia kichwa sio kufugia nywele, tumia kichwa kufikiri na kuchanganua issues.
Sijamzungumzia Biswalo ambaye unasema ni mtu wa Jiwe wakati sasa hivi ana cheo na kapewa na Samia. Nachosema ni kwamba tuhuma yeyote ile ikimuhusu Jiwe na akina Makonda hata iweje huwa hamuulizi kuhusu ushahidi wa hiyo tuhuma mnaichukua kama ilivyo. Mie nikija hapa nikisema Makonda alinichukulia Nyumba yangu na kiwanja changu basi hata hamtohitaji uhakika kwa nachokisema ilimradi aliyetajwa ni Makonda basi mnakubali tu.
 
Alikuibia yeye??

Kama ni mwizi lete ushahidi mmoja wa aliyeibiwa ni lema.

Kinyume chake mwache chuki haizwasaidii kwa kumchafua mtu kwa ujinga wenu.
Wewe inakuuma nini akichafuliwa Lema mbona wengine wakituhumiwa humu bila ushahidi hamuhoji kuhusu ushahidi? Hivi mie nikija nikisema Makonda alinichukulia nyumba na kiwanja changu je,wewe utataka ushahidi na kuona namsingizia?
 
Ukweli ni kwamba Sabaya ni mwovu. Lakini ukimlinganisha na Makonda au Biswalo, Sabaya ataonekana ni mtakatifu.

Ukiongea na wale waliobambikowa kesi za uhujumu uchumi, yawezekana Biswalo atakuwa mtu wa pili aliyewahi kupora pesa nyingi za watu, kuliko mtu yeyote nchi hii.

Huyu Biswalo ni lazima siku moja ahukumiwe sawasawa na uovu wake. Kwa uovu alioutenda, laana itembee naye daima.
Biswalo akishika namba mbili je namba moja ninani?
 
Tuambie wewe unajua waliramba asali gani nyuki wadogo au wakubwa na iliwekwa account gani Nani aliekabidhiwa agawie wenzake, na ni Nani alieongoza kundi ilo? Ebu jibu ili nikuuli, e maswali niipate kuku amini
Maana uzushi hii nchi ndio elimu yenu
Umasikini ni akili fupi, poleni sana twendeni tukamuunge mama mkono... maridhiano hoyee!!!
 
Back
Top Bottom