Mkuu sidhani kama kanjibai anaweza mwangusha lema,huo utafiti wako hautofautian na ule ulotolewa juzi juz kuwa mgombea wenu anaongoza katika kura za maoni,achana na siasa maji taka lema anarud tena bungeni bila was kwa kuwa wananchi wanamkubali
Hivi jaman kama CIO bangeeee ni nn tusemeeeee? Hakuna kama Lema chuga a' hata aje kikwete hapa chuga hawezi furukuta mbele ya Lema mzee. Ww unakaa DSM unaandika mambo ya arusha? Lema ni shidaaaaaaaaaa
Mbunge wa chadema godbless lema yuko hatian kupoteza jimbo lake kufuatia kutokuungwa mkono na wanachi wa maeneo mbalimbali
hali hyoo imekuja kufuatia kushindwa kuteleleza ahadi zake nyingi alizo wahahidi wananchi wa jimbo la arusha mjini

Lema hana chake hapo
..amejilimbikizia mali za kufa mtu, simply hatufai huyu goigoi

wameajiriwa hao,post zao hazina mashiko
Lema hana chake hapo
..amejilimbikizia mali za kufa mtu, simply hatufai huyu goigoi
Mbunge wa chadema godbless lema yuko hatian kupoteza jimbo lake kufuatia kutokuungwa mkono na wanachi wa maeneo mbalimbali
hali hyoo imekuja kufuatia kushindwa kuteleleza ahadi zake nyingi alizo wahahidi wananchi wa jimbo la arusha mjini
Mnapokuwa mnaelezwa hali yenu ilivyo,mpokee km changamoto.Lema atashndwa na Kiwia,mtashangaa na ubishı wenu.Kumbuka anayegombea ubunge wa Arusha sio Msukuma Magufulı,ni mzawa wa hukohuko na ile ni jamii yake.Hapa Dar Ukawa mkijitahdi licha ya Ukweli urais Lowasa aweza ongoza,ubunge hamtapata viti zaidi ya viwilı
Vijana wa Lumumba mmeishiwa ya kuandika mpate buku 7 lenu.