Lema Aunguruma Manzese,Dar

Asipozunguka mitaani mkono hauendi kinywani maana ubunge chali! mwacheni ajitafutie riziki.
 
Asipozunguka mitaani mkono hauendi kinywani maana ubunge chali! mwacheni ajitafutie riziki.

Nilitaka kushangaa usizungumze ila Jibu Hoja......Lema pekee yake tu shazi bila promo bila kuwarubuni watu wamejaaa!ebu jaribuni na nyinyi.Pigeni kelele Lema Anasonga
 
Nashangaa wale waliosema dar ni yao! Hao hawajaletwa kwa malori wala kuahidiwa elfu 5! Kama bado wanawaza hivyo hawana tofauti na aliyekuwa waziri wa habari wa Iraq enzi za Sadam!
 
CCM wanamwona Kamanda Lema kama pasua kichwa.
 
Nashangaa wale waliosema dar ni yao! Hao hawajaletwa kwa malori wala kuahidiwa elfu 5! Kama bado wanawaza hivyo hawana tofauti na aliyekuwa waziri wa habari wa Iraq enzi za Sadam!

Na bado ana mwezi wa kuwepo hapo dar sijui nape ana ratiba.
 
Kamanda Lema watakujua magamba safari hii M4C
 
CCM wanamwona Kamanda Lema kama pasua kichwa.

Yaani hawana uwezo tu wa kumzuia kufanya siasa maana kitu alichowafanya hapa Arusha na mwanza..watakuwa wanajutia Ikulu kumvua ubunge...
 
Vip amekusanya sadaka yake hapo kwa maskini wa manzese
 
Huyo ndiyo Lema....ukisikia mwingine ujue fake.
Tulianza na mungu na tutamaliza na mungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…