Huo utakua ule mkutano wa Ile Saccoss ya Ufipa kwa ajili ya kujadili maombi ya mikopo ili wakanunue magari"Na mbele wangewekwa watu maalumu wa kushangilia. Nimehudhuria mikutano mingi ya CCM pale mbele unapoona watu wakishangilia huwa wanapewa mafunzo wiki moja kabla. Dhulma iliyopo wakati wa mafunzo huwa wahudhuriaji huwa wanaishia kupewa soda na ahadi ya elfu 15 mkutano ukiisha. Mkutano ukiisha wachache wenye viherehere ndio hupata pesa. Wale wapole hupewa ahadi zidizoisha" zilisikika sauti za mdau mmoja mbele ya kundi kubwa la watu
Bado una mawazo hayo,nikuombe ufanze toba kwa Mola wako ili uwe mkweli uweze kuwasaidia wengine.Lema atarudia ujambazi,akikosa ubunge 2020,wananchi wa arusha wamemchoka kazi kufanya vurugu tu bungeni,badala ya kusema shida na matatizo ya wananchi wa arusha.
Wamekachoka Ka Lema kama nilivyochoka mfereji wa mamako? Yaani hapa nilipo na jitahidi kuvumilia tu!Lema atarudia ujambazi,akikosa ubunge 2020,wananchi wa arusha wamemchoka kazi kufanya vurugu tu bungeni,badala ya kusema shida na matatizo ya wananchi wa arusha.
Lema harudi 2020 [emoji23][emoji23][emoji23]
Just pee it !Mhe Lema ni Mbunge wa milele
Eeh Mu gu ibariki chadema na wanachadema tudumishe upendo na kamwe usiruhusu mashetani kuushinda utukufu wako.Mbunge wa milele wa Jimbo la Arusha Mjini leo ametikisa Mji wa Arusha na vitongoji vyake baada ya mkutano mzito sana wa hadhara.
View attachment 1144858
View attachment 1144859
View attachment 1144860
View attachment 1144861
Endeleeni kutega sikio kwa safari ya kikazi ya Mbunge huyu iliyoanza rasmi leo
Ndio hao hao waliokusanyika hapo wanamsikiliza kwa makini?? Lema atashindwa kwa mtutu wa polisi na wasiojulikana lakini sio kwa Kura za wananchi.Lema atarudia ujambazi,akikosa ubunge 2020,wananchi wa arusha wamemchoka kazi kufanya vurugu tu bungeni,badala ya kusema shida na matatizo ya wananchi wa arusha.