Hiyo ni laana mtu anapigishwa vigelegele siku nzima kisha anaishia kuzulumiwa..ccm haifai"Na mbele wangewekwa watu maalumu wa kushangilia. Nimehudhuria mikutano mingi ya CCM pale mbele unapoona watu wakishangilia huwa wanapewa mafunzo wiki moja kabla. Dhulma iliyopo wakati wa mafunzo huwa wahudhuriaji huwa wanaishia kupewa soda na ahadi ya elfu 15 mkutano ukiisha. Mkutano ukiisha wachache wenye viherehere ndio hupata pesa. Wale wapole hupewa ahadi zidizoisha" zilisikika sauti za mdau mmoja mbele ya kundi kubwa la watu
Lema harudi 2020 [emoji23][emoji23][emoji23]
Lema atarudia ujambazi,akikosa ubunge 2020,wananchi wa arusha wamemchoka kazi kufanya vurugu tu bungeni,badala ya kusema shida na matatizo ya wananchi wa arusha.
Mimi niliwatafuta kwa tochi sikuwaona.Hahahahha.......juzi kulikuwa na 'arusha ya kijani'
Mungu ampe maisha marefu, nampendaje!???
Hii haina mfano[emoji23][emoji134][emoji119][emoji137]
Chadema ni homa ya Jiji!
Wewe ndio unawafanyia maamuzi wananchi wa Arusha ?Wewe ndio unawapigia kura sio ?Lema harudi 2020 [emoji23][emoji23][emoji23]
Unaongelea poyoyo MaguMwambie achukue muda wa kuaga pia maana 2020 atasombwa na tsunami
Mhe Lema ni Mbunge wa milele
Kwani huwa kuna lori, chadema mpo juuikumbukwe kwamba hakuna lori lolote lililotumika kusomba raia
Sifa kuu ziende kwa Mwenyekiti na mpendwa wetu tu na zingine kwa viongozi wengine was Chama cha Kijani ambacho wanachama wake damu yao ni kijani pia.Utampendaje mwanaume mwenzako, mke wake akikusikia ndo utajuwa, sema unamkubali angalau iko sawa. Tuanze kupunguza maneno ya sifa kwa wanasiasa ili wafanye kazi walizotumwa.
unajidhalilisha makusudi kwa faida ya nani ?Huwezi amini hako kaeneo kalivyo kadogo pamoja na kuwa na magari mengi sana lakini kimeshindwa kabisa kufurika, kuchokwa kubaya.