Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,198
- 283,027
Karibu sana mkuuTuko pamoja kamanda
ikumbukwe kwamba hakuna lori lolote lililotumika kusomba raiaMungu ampe maisha marefu, nampendaje!???
Hii haina mfanoππππ
Hahahahha.......juzi kulikuwa na 'arusha ya kijani'ikumbukwe kwamba hakuna lori lolote lililotumika kusomba raia
ukweli mtupu !Ungekuwa ni mkutano wa ccm wamasai wangesombwa kutoka kutoka ngorongoro fuso zingekuwa bize kwelikweli.
Kweli japokuwa wengi ni watoto chini ya miaka 12 kama picha inavyo onyesha.ikumbukwe kwamba hakuna lori lolote lililotumika kusomba raia
mkuu Arusha si chamwinoKweli japokuwa wengi ni watoto chini ya miaka 12 kama picha inavyo onyesha.
Mungu ampe maisha marefu, nampendaje!???
Hii haina mfanoππππ
"Na mbele wangewekwa watu maalumu wa kushangilia. Nimehudhuria mikutano mingi ya CCM pale mbele unapoona watu wakishangilia huwa wanapewa mafunzo wiki moja kabla. Dhulma iliyopo wakati wa mafunzo huwa wahudhuriaji huwa wanaishia kupewa soda na ahadi ya elfu 15 mkutano ukiisha. Mkutano ukiisha wachache wenye viherehere ndio hupata pesa. Wale wapole hupewa ahadi zidizoisha" zilisikika sauti za mdau mmoja mbele ya kundi kubwa la watuUngekuwa ni mkutano wa ccm wamasai wangesombwa kutoka kutoka ngorongoro fuso zingekuwa bize kwelikweli.
Noted π π π πikumbukwe kwamba hakuna lori lolote lililotumika kusomba raia
Lema harudi 2020 [emoji23][emoji23][emoji23]Lema atarudia ujambazi,akikosa ubunge 2020,wananchi wa arusha wamemchoka kazi kufanya vurugu tu bungeni,badala ya kusema shida na matatizo ya wananchi wa arusha.