Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 33,871 Reaction score 32,650 Oct 21, 2018 #181 KingY said: apasuke bibiyo Click to expand... Ona jinsi akina Mbowe wanavyowaharibu hapo ufipa nyie vijana.
KingY said: apasuke bibiyo Click to expand... Ona jinsi akina Mbowe wanavyowaharibu hapo ufipa nyie vijana.
My Son drink water JF-Expert Member Joined Nov 30, 2016 Posts 4,930 Reaction score 13,333 Oct 21, 2018 #182 Magonjwa Mtambuka said: Hii ilikuwa wakati wa awamu ya nne. Click to expand... Kwa hiyo awamu ya tano Uchumi umeimarika sana,Demokrasia imeshamiri,Uhuru wa Habari uko juu,ndo maana Arusha wanaipenda CCM?
Magonjwa Mtambuka said: Hii ilikuwa wakati wa awamu ya nne. Click to expand... Kwa hiyo awamu ya tano Uchumi umeimarika sana,Demokrasia imeshamiri,Uhuru wa Habari uko juu,ndo maana Arusha wanaipenda CCM?
Sungusela JF-Expert Member Joined Aug 12, 2018 Posts 681 Reaction score 485 Oct 21, 2018 #183 Erythrocyte said: Asante sana Kamanda , ukweli huo unajulikana hata nje ya nchi , tunakushukuru sana kwa kuikomboa Arusha na kuipatia uhuru wa kweli , hatuna cha kukupa mkuu ila uhakika ni kwamba Mungu atukulipa jasho lako . Click to expand... Hee !😳
Erythrocyte said: Asante sana Kamanda , ukweli huo unajulikana hata nje ya nchi , tunakushukuru sana kwa kuikomboa Arusha na kuipatia uhuru wa kweli , hatuna cha kukupa mkuu ila uhakika ni kwamba Mungu atukulipa jasho lako . Click to expand... Hee !😳
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 33,871 Reaction score 32,650 Oct 21, 2018 #184 My Son drink water said: Kwa hiyo awamu ya tano Uchumi umeimarika sana,Demokrasia imeshamiri,Uhuru wa Habari uko juu,ndo maana Arusha wanaipenda CCM? Click to expand... Waulize watakujibu.
My Son drink water said: Kwa hiyo awamu ya tano Uchumi umeimarika sana,Demokrasia imeshamiri,Uhuru wa Habari uko juu,ndo maana Arusha wanaipenda CCM? Click to expand... Waulize watakujibu.