Lema hajaleta siasa kwenye maisha ya watu, wala hajasema anafurahia watu wanapopata ajali na kulemaa. Alichofanya ni yeye kuwatuliza waendesha pikipiki hao na kuahidi kutafuta ufumbuzi wa tatizo lao kama mbunge wa Arusha. Mbona uko hasi kiasi hicho??