Lema yuko sahihi kwenye issue ya crowd management
Issue sio faith ni management ya crowd ,FAITH hutakiwi kuigusa,MFANO KIKOMBE CHA BABU WALIKINYWA HADI MAPROFESA NA MA DOCTOR
Nimeona hata Simbachawene akiongelea faith na mkuu wa mkoa kilimamjaro akiongelea faith
hawako sahihi wanatakiwa kujikita kwenye crowd managemewnt