ras mkweli
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 280
- 104
Update za hilo tukio lipo hapa jf labda kama tumedanganywa
ni zipi weka linkUpdate za hilo tukio lipo hapa jf labda kama tumedanganywa
ipo siku itafikia hali hii na watajuta kama yule wa burundiInabidi mbowe atuambie neno moja tu ili tuingie mtaani tumechoka
Swissme
Sirro at work.....Upinzani msirudie makosa mliyoyafanya kwa saanane ben. This time pazeni sauti zenu mapema before ijawa too late.