Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,385 Feb 5, 2014 #41 cantonna said: kinana ile kesi aliweza kumfungulia msigwa? Click to expand... Mmekalia ushabiki maandazi tu, yakiwakalia kooni wenzenu hata taarifa mnajifanya hamna. Anzeni kuuza GONGO mkamlipie mropokaji wenu hali mbaya mawakili wake wanahaha kutafuta pesa.
cantonna said: kinana ile kesi aliweza kumfungulia msigwa? Click to expand... Mmekalia ushabiki maandazi tu, yakiwakalia kooni wenzenu hata taarifa mnajifanya hamna. Anzeni kuuza GONGO mkamlipie mropokaji wenu hali mbaya mawakili wake wanahaha kutafuta pesa.
bucca JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 540 Reaction score 85 Feb 5, 2014 #42 Hakuna chochote, acha kutidanganya
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,385 Feb 5, 2014 #43 Daudi Mchambuzi said: Arusha tunatabia ya kuishinda ccm bila woga. Lema ametuambia hao kina Jumanne Mjusi tuwavungie kwanza. Hatuna haja ya kuwafata kwenye mikutano yao, tuna mahali maalum. Click to expand... Wewe una mahali maalum na Mjusi, zikiwekwa picha mnaanza kusingizia photo shop kama zile za baba yenu Lema mlivyozikana.
Daudi Mchambuzi said: Arusha tunatabia ya kuishinda ccm bila woga. Lema ametuambia hao kina Jumanne Mjusi tuwavungie kwanza. Hatuna haja ya kuwafata kwenye mikutano yao, tuna mahali maalum. Click to expand... Wewe una mahali maalum na Mjusi, zikiwekwa picha mnaanza kusingizia photo shop kama zile za baba yenu Lema mlivyozikana.