Lema aache kumtishia amani DPP

Huyo dpp kaingia kwenye hiyo nafasi kama ladies free,ni mjinga mmoja kutoka kanda ya ziwa ambae anawapa watu kesi za ML mapato anagawana na meko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa kuweka vizuri
 
Ni kweli "Utawala" uliopo utapita, kama ulivyo Ubunge wa hao ambao wanatumia kinga yake kusema hayo wanayoyasema. Nje ya ubunge watakuwa raia wa kawaida kabisa.
 
Hivi kumbe anaetoa Hukumu ni DPP!??

Typed Using KIDOLE
Rudia kumsikiliza Lema vizuri utaelewa nani anayetoa hukumu....Kwa kukurahisishia tu mahakama ni rubber stamp hukumu zinatoka kwenye muhimili uliojichimbia zaidi meko anampa order DPP then DPP anaagiza utekelezaji kwenye so called mahakama.

Mambosasa anajitokeza hadharani na kukiri askari wake sita walipiga risasi juu kwa bahati mbaya ikageuka na kwenda kumpiga akwilina lakini kesi ya mauaji wamepewa chadema.
 
Ni kweli "Utawala" uliopo utapita, kama ulivyo Ubunge wa hao ambao wanatumia kinga yake kusema hayo wanayoyasema. Nje ya ubunge watakuwa raia wa kawaida kabisa.

Uko sahihi sana, kisha baada ya hayo madaraka utaanza kuishi kwa jinsi ulivyoitendea jamii ulipokuwa madarakani.
 
Kwa taarifa yako gerezani wamejaa waizi WA kuku na mobile phone
 
Wewe ndiye nyumba ndogo ya huyo DPP?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka akutishe wewe ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…