Leka dutigite

Leka dutigite

jMali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
8,412
Reaction score
5,013
Hapa CHADEMA walikuwa hawajui kuwa Leka dutigite ni ya zitto au unafiki tu? Hapa mbona wote wanakula hela za NSSF?

AyBOwEOCAAAuqO3.jpg
AyBOGkcCMAAHfU2.jpg


Umati wa watu waliohudhuria Show ya Leka Dutigike iliyofanyika katika uwanja wa Lake Tanganyika,Kigoma na kushirikisha wasanii wote ambao ni wazaliwa ama wenye asili ya Kigoma. Wakiongozwa na wabunge Vijana Mh Zitto Kabwe,Halima Mdee,Ester Bulaya na Joshua Nassari.

source:http://duniakijiji.blogspot.com/2012/07/show-ya-leka-dutigite-uwanja-wa-lake.html
 
Back
Top Bottom