Rais2020 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 3,248 Reaction score 5,537 Apr 5, 2017 #441 Team imerudi kwenye form. Ni mwendo wa kuchukua point Tatu muhimu. Nadhani hii ndiyo team pekee inayopewa nafasi kubwa zaidi ya kuchukua ndoo ya Eufa mwaka huu. Bet hata kama ni kuweka nyumba yako
Team imerudi kwenye form. Ni mwendo wa kuchukua point Tatu muhimu. Nadhani hii ndiyo team pekee inayopewa nafasi kubwa zaidi ya kuchukua ndoo ya Eufa mwaka huu. Bet hata kama ni kuweka nyumba yako
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,710 Reaction score 51,061 Apr 5, 2017 #442 Msimu huu ni msimu mgumu sana, vijana walipoteza matumaini kabisa
Rais2020 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 3,248 Reaction score 5,537 Apr 5, 2017 #443 toxic9 said: Msimu huu ni msimu mgumu sana, vijana walipoteza matumaini kabisa Click to expand... Kqa sasa wamerudi kwa ari na kasi kubwa Sana. Toka Raniel atimuliwe wanapata matokeo chanya tu. Hawa bila shaka ni mabingwa wapya wa Eufa mwaka huu
toxic9 said: Msimu huu ni msimu mgumu sana, vijana walipoteza matumaini kabisa Click to expand... Kqa sasa wamerudi kwa ari na kasi kubwa Sana. Toka Raniel atimuliwe wanapata matokeo chanya tu. Hawa bila shaka ni mabingwa wapya wa Eufa mwaka huu
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,710 Reaction score 51,061 Apr 5, 2017 #444 Rais2020 said: Kqa sasa wamerudi kwa ari na kasi kubwa Sana. Toka Raniel atimuliwe wanapata matokeo chanya tu. Hawa bila shaka ni mabingwa wapya wa Eufa mwaka huu Click to expand... Bado kazi wanayo sio kirahisi hivyo mkuu,
Rais2020 said: Kqa sasa wamerudi kwa ari na kasi kubwa Sana. Toka Raniel atimuliwe wanapata matokeo chanya tu. Hawa bila shaka ni mabingwa wapya wa Eufa mwaka huu Click to expand... Bado kazi wanayo sio kirahisi hivyo mkuu,
Rais2020 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 3,248 Reaction score 5,537 Apr 5, 2017 #445 toxic9 said: Bado kazi wanayo sio kirahisi hivyo mkuu, Click to expand... Mkuu tuombe uzima tu. Tutashuhudia mambo makubwa aana toka kwa vijana wa mjini Leicester
toxic9 said: Bado kazi wanayo sio kirahisi hivyo mkuu, Click to expand... Mkuu tuombe uzima tu. Tutashuhudia mambo makubwa aana toka kwa vijana wa mjini Leicester
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 7,744 Reaction score 14,413 Apr 6, 2017 #446 magoli ya vard yananiacha hoi