Legacy ya Prof Haroub Othman Miraji

Hakika Taifa limempoteza msomi na mwanazuoni meledi sana. hakika tutazidi kumkumbuka daima.
Ana undugu wowote na yule Mtangazaji wa Sauti ya Ujerumani anayeandaa kipindi cha DARUBINI, Othmani Miraji?

Hakika Othan Miraji ni ndugu yake kabisa.
 
..nimeshangaa Raisi hakwenda kumzika Prof.Haroub Othman.

..Raisi pia hakutokea kwenye mazishi ya Kaimu Sheikh Mkuu Selemani Gorogosi.
 
..nimeshangaa Raisi hakwenda kumzika Prof.Haroub Othman.

..Raisi pia hakutokea kwenye mazishi ya Kaimu Sheikh Mkuu Selemani Gorogosi.

Jamani raisi alikuwa bize na maandalizi ya safari zake nje ya nchi ambazo huwa hawezi kuwakilishwa na mtu yeyote hata kama ni..

Oh, sorry, Prof, tutamkumbuka sana kwa mengi aliyo yafanya hata utimishi wake ulio tukuka katika chuo kikuu cha UD.
 
Pamoja na sifa zote anazomwagiwa huyu bwana alikuwa na chuki za kijinga dhidi ya wayahudi. Mala nyingi msimamo wake dhidi ya taifa la Israel haukupishana na ule wa watu kama rais aliyeiba kura wa Iran
Waisrael hakuna anayewachukia ila "matendo maovu" dhidi ya binadamu wenzao, Prof. alikuwa anasema ukweli tuu ambao kila mwenye fikra huru amesema mfano:-
a) Israel imevunja ma-azimio yote ya UN kuhusu fate of palestina ni zaidi 30 toka 1992
b) Imeshaua raia na watoto wasio na hatia kwa mabomu
c) Ni wavamizi kwenye Land (Occupation) since 1948 (creation of israel) thereafter (1967) expand its occupation to palestine land
d) Kwa jinsi wanavyoendelea watachukia na kulaaniwa na kila mpenda haki -akitokea hitler mwingine (mungu aepushe) awasulubu lakini wakikubaliana na UN resolution wata -solve problem
e) Yetu macho aliyewaumba atawaumbua hivi karibuni kwa uharibifu na uuaji wa watu na watu.
 
kwa kweli kwa Tanzania tumempoteza Mwanasiasa na chombo cha kimataifa katika siasa.
Ukianzia katika mchango wake katika Siasa ya East afrika na tanzania kwa ujumla ,pia amechangia pakubwa hata kuwapika na kuhakikisha wanasiasa wengi wa tanzania wanaiva kisiasa kwa njia ya kutoa mawazo yake katika ulimwengu wa siasa.
Pia ninachofahamu zaidi alikuwa ni mtu alisiyemuogopa mtu kama akielewa kuwa kile anachoongea ni sahii katika ulimwengu wa siasa.

Tutamkumbuka kwa mchango wake katika siasa
 
Pamoja na sifa zote anazomwagiwa huyu bwana alikuwa na chuki za kijinga dhidi ya wayahudi. Mala nyingi msimamo wake dhidi ya taifa la Israel haukupishana na ule wa watu kama rais aliyeiba kura wa Iran

Hivi ukieleza ekweli dhid ya israel unakua mjinga? usije kua we ndo mjinga, Ata serikali yetu ya TZ tokea wakati wa Nyerere tunaelewa Israel wanawadhulumu wa Palestina. sasa wewe hulijui hili, basi wewe ndo ukona matatizo
 
Pamoja na sifa zote anazomwagiwa huyu bwana alikuwa na chuki za kijinga dhidi ya wayahudi. Mala nyingi msimamo wake dhidi ya taifa la Israel haukupishana na ule wa watu kama rais aliyeiba kura wa Iran

Wewe unawapenda sana hao wayahudi wauwaji. Basi kanywe nao chai na sio Mala ni Mara
 
Back
Top Bottom