Lee Kuan Yew and the New World Order | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lee Kuan Yew and the New World Order

Discussion in 'International Forum' started by m_kishuri, May 21, 2011.

 1. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2011
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Lee Kuan Yew is a Singaporean statesman. He was the first Prime Minister of the Republic of Singapore, governing for three decades. By the time he chose to step down to enable a stable leadership renewal, he had become the world's longest-serving Prime Minister. Mr. Lee built Singapore based on education, work ethics, and transparency. Mimi huyu mzee namkubali sana.

  Many third World countries, TANZANIA ikiwemo, can learns something from his leadership. Ukiwa na muda, tafadhali sikiliza nasaha zake kuhusu hali ya mambo duniani, haswa nafasi ya China.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2011
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  At 80 years Jamaa ana VISION ambayo wanatakiwa wawe nayo hawa viongozi wetu wa afrikca tunaowaita vijana. but mambo ni vice Versa.

  Kuna sehemu analinganisha China na US. Kila mmoja na strengths zake na kila mmona ana weakness zake. Sasa sijui sisi kama tunajua Strenght zetu ziko wapi na tunazitumiaje na kama tunajua weakness zetu tunazifunikaje.

  Nice interview and he was and still he is a Visionary and strategic leader.
   
 4. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kuna huyu na yule Dr. Mahathir Muhamad wa Malyasia hawa jamaa walikuwa na maono ambayo kama tungepata watu wa namna hiyo wangetuvusha toka hili lindi la ujinga,maradhi na umasikini linalokabili Tanzania
   
 5. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2011
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na nyinyi wakuu, kwani kinachokosekana ndani ya nchi yetu ni VISIONARY Leaders wa hii kaliba. Hebu angalia assessment ya Marehemu mwalimu J.K Nyerere ya miaka 10 ya Azimio la Arusha (1977), halafu uone kama kweli viongozi wa chama kilekile kilichopo madarakani wamerekebisha chochote.

  The problem of inefficient staff has rarely been as candidly exposed as in a 1977 report by Julius Nyerere on Socialist progress in Tanzania. He noted that" ministries were overspending in disregard of severe budgetary restraints; the Rural Development Bank was issuing loans that were not being repaid; State enterprises were operating far below capacity- sometimes at less than 50 percent; "management" was preoccupied with privilege and displayed little enterprise; and "workers" were slack, incompetent, and undisciplined."

  Ni dhahiri kwamba safari yetu bado ni ndefu.
   
 6. Marahaba

  Marahaba Member

  #6
  May 21, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh!,So wadau wa JF ,Lee Kuan Yew ndo atakayeongoza mchakato wa New World Order ama?,maana kwa ufahamu wangu nilijua ni Marekani ndo machampion wa hiyo New World Order,pale dunia inapoelekezwa kuwa na Serikali moja(mtawala mmoja ) na Dini Moja pia
   
Loading...